Naomba kujuzwa!;ni kweli wanawake wanafurahia zaidi wafanyapo mapenzi kuliko wanaume? 75% by 25%?

wonishi

Member
Sep 18, 2012
25
5
Hallow wana JF,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ktk uwanja huu wa mapenzi,wawe wadada au wakaka,eti ni kweli wanawake waenjoy zaidi wanapokuwa kwenye malavidavi kuliko wakaka?maana wapo wanaopiga kelele mwanzo mwisho ukiacha wale ambao wako kibiashara zaidi.Kwamba wao (wadada)wana aslimia 75% na wakaka 25%?naomba nielimishwe tafadhali.
 
Nadhani sio rahisi kupata jibu kwa sababu hakuna creteria zinazoweza kutupa ulinganisho huo

kumbuka furaha ni abstract issue so measure it is so difficult

otherwise if personal satisfaction itumike ambayo pia haitatoa jibu
 
Ni kweli, kwanza mwanamke anasikia raha sehemu nyingi za mwili wake, kifuani, mapaja na kule kunako ukumbuke raha anaisikilizia ndani ya mwili wakati wewe unaisikilia kwa nje! Tena Kama ndo una kibamia ndo husikii utamu kabisa!
 
Wakaka wanaenjoy pale tu wanapomwaga zile vitamins!! lkn wenza wetu moto unaposhika kasi usipime!!
 
Yaani technology iliyotumiwa hapa na creation ni sawa tu na wewe mwenyewe unapokuwa na sehemu inawasha halafu unajikuna kwa hiyo kadri unavyojikuna ndivyo unavyosikia raha,hii ni sawa na uke wa mwanamke kule ndani kunakuwa kunawasha kote wewe unapoingiza na kusugua unakuwa unakuna sasa ni yeye anayekunwa ndiyo anayesikia raha zaidi yako mpaka pale ule muwasho utakapo kwisha.halafu yeye mwanamke ana sehemu kubwa ya kusikia raha inayomwasha wakati wewe una ka kichwa tu.na unapofanya hakuna raha yoyote unayoipata mpaka pale utakapo mwaga ndio raha pekee kwa mwanaume.
 
Kumbeeee!! Poleni sana..!!
 
Si kweli mwanamme anasikia raha pale anapomwaga tu nakataa ndio maana wanaume wengi wanatafuta dawa ya kuchelewa kufika kileleni lengo ni kuinjoi zaidi na kuweza kumkuna mweza hadi kummaliza muwasho mpenzi wake! Huo upande wa pili siwezi jibu coz sijui.
 
Hivi tunatumia kipimo gani kujua nani anapata raha zaidi ya mwingine!

eti 75% kwa 25% he!
 
Endapo ukitumika katerero ya BUKOBA kwenye malavidavi anayesika raha ni mwanamke, ndio maana mwanamke yoyote akipewa katerero kama alikuwa ajaonja ndoa inakuwa hatihati
 
Hallow wana JF,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ktk uwanja huu wa mapenzi,wawe wadada au wakaka,eti ni kweli wanawake waenjoy zaidi wanapokuwa kwenye malavidavi kuliko wakaka?maana wapo wanaopiga kelele mwanzo mwisho ukiacha wale ambao wako kibiashara zaidi.Kwamba wao (wadada)wana aslimia 75% na wakaka 25%?naomba nielimishwe tafadhali.

alafu nyie bwana...yaani yote hii ni kwa sababu mwanaume eti raha anapata wakati akimwaga. huu sii ukweli ingekuwa raha kumwaga basi tungekuwa tunapiga nyeto tuu.
raha ni wakati watendo zima, kumuanda mpenzi wako, maneno ya kimahaba, miguno kupapasa ngozi nyororo, kumuona anavyolegea na papuchi kulowana...jinsi mtalimbo unavyoingia na kutoka katika K, anavyolamba dushelele yote hayo ni sehemu ya starehe ya ngono sio kupiga bao tuu
 
Si kweli mwanamme anasikia raha pale anapomwaga tu nakataa ndio maana wanaume wengi wanatafuta dawa ya kuchelewa kufika kileleni lengo ni kuinjoi zaidi na kuweza kumkuna mweza hadi kummaliza muwasho mpenzi wake! Huo upande wa pili siwezi jibu coz sijui.

mkuu upo sawa kabisa nakubariana nawewe ingekua mwanaume anasikia raha 2 wakati wakumwaga bas 2singekua sisi wanaume 2natafuta dawa yakuchelewa kumwaga kwahyo kabura hujamaliza kunaraha unazipata sana hata mwenza wako ukichelewa ndipo anasikia raha zaidi
 
Back
Top Bottom