Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,650
- 20,988
Naomba kujuzwa kwa anayefahamu biashara ya hewa ukaa atujuze hapa
Enumerate!Una msitu?
Enumerate!
Msitu una kuwa na umri ganiKilo 1 ya hewa ya ukaa tunanunua kwa milioni 35 kama unayo hata kilo moja tunakuja kufuata wenyewe.
Mara nyingi msitu wa kutoa hewa kilo moja kwa mwaka ni kama hekta 7 hivi, ni biashara nzuri ukiwa na hekta 70 kwa mwaka unaweza kupata hewa kilo 20 ambayo ni milioni 700 hiyoMsitu una kuwa na umri gani
Mkuu asante kwa maelezo, lakini napenda kujua msitu uwe na miaka mingapi toka kupanda? Je ni mti wowote? Kuna neema naionaMara nyingi msitu wa kutoa hewa kilo moja kwa mwaka ni kama hekta 7 hivi, ni biashara nzuri ukiwa na hekta 70 kwa mwaka unaweza kupata hewa kilo 20 ambayo ni milioni 700 hiyo
Msitu wowote hasa ile ya asili ndio mizuri, kama ni msitu wa kupanda angalau uwe na miaka mitatu unaanza kuvuna hewa ya ukaaMkuu asante kwa maelezo, lakini napenda kujua msitu uwe na miaka mingapi toka kupanda? Je ni mti wowote? Kuna neema naiona
AsanteMsitu wowote hasa ile ya asili ndio mizuri, kama ni msitu wa kupanda angalau uwe na miaka mitatu unaanza kuvuna hewa ya ukaa
Msitu wowote hasa ile ya asili ndio mizuri, kama ni msitu wa kupanda angalau uwe na miaka mitatu unaanza kuvuna hewa ya ukaa
Viko vyombo maalum vya kuvunia hewa ya ukaaKumbe kuna fursa mpya mjini na hamsemi, sasa inavunwa vipi hiyo hewa?
Viko vyombo maalum vya kuvunia hewa ya ukaa
Heka 10 mkuuIli nipate kilo moja inabidi niwe na msitu wa heka ngapi?
Unavunaje hewa boss?Msitu wowote hasa ile ya asili ndio mizuri, kama ni msitu wa kupanda angalau uwe na miaka mitatu unaanza kuvuna hewa ya ukaa
Viko vifaa vyake maalum vya kuvunia, vinauzwa China AlibabaUnavunaje hewa boss?