Andika kiswahili bana
Sauna ni nini? Sisi wengine hatujui! Utakuwa umekosea ni suna!
Uuuuufuuuuuuuuuuuuu! itabidi nihame huku kijijini nirudi mjina maaba misamiati mingi inanipita, mweeeeee!
Mhhhhhhhh, jamani ujanja wangu wote mwenzenu sijui maana ya hili neno 'sauna'- una maana ya suna au?
is a steam bath ambapo joto lake inategemea na ww mtumiaji unahitaji liwe kiasi ganiSauna ni nini? Sisi wengine hatujui! Utakuwa umekosea ni suna!
jamanijamani!! aya mambo ya kuiga mila na desturi za watu mtayaacha ln?????SAUNA dsm hii na joto hili nini shida jamani!!! ebu kueni wazalendo
asili ya mabafu haya ni finland ambako kunabaridi, kunakuwa na chumba ambako kuna mawe yanapashwa joto yakiwa ya moto unamwagia maji ule mvuke unaotoka ndio unakuosha baada ya kupata joto la kutosha unakimbilia nje kwenye maswiming pool ya baridi na kujipooza na kujisuuza sasa hapa bongo kwenye joto ya kazi gani? labda kama una mafua if it worth the risk and money.Sauna ni nini? Sisi wengine hatujui! Utakuwa umekosea ni suna!