Naomba kujuzwa faida za kwenda au kutokwenda sauna?

Naomba mnisaidie kunafaida au hasara pale mtu anapoamua kwenda sauna vilevile kuna faida au hasara mtu anaipata pale asipokwenda sauna?
Kwa watu wanaoshinda ofisini na kutofanya kazi za kutoa jasho ina faida kwao. Hasara yake sauna inachukuliwa kama starehe fulani kama huna kipato chema sauna haikufai.. Lakini pia ni upotevu wa pesa wakati unaweza kufanya mwenyewe nyumbani



Jr
 
Back
Top Bottom