Naomba kujua faida za sauna

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
723
544
Watalamu habari zenu

Naomba kujuzwa ni faida gani anapata Mtu anayekwenda sauna

Je iyo sauna haina madhara kiafya?

Kwa jiji la Dar izo sauna zinapatikana wapi?
 
Make google your friend bro!

Inaonyesha iko bomba sana,, nikiwa mkubwa na mimi nitaenda sauna
2DF767F5-5808-4D95-AF34-F96CF42A2AB9.jpeg
 
Back
Top Bottom