NimekujibuMsaada tafadhali
Huu ni uongo.PSSSF 5%
PAYEE 12%
HESLB 15%
NHIF 3%
CHAMA (mfano TALGWU, CWT n.k ) 2%
Jumla ya makato ni 37% x104000= 384800.
Hivyo unachobakiza ni 1040000 - 384800= 655,200/=.
Toa makato ya benki na charges nyingine tuseme 15,200/=, hivyo utabaki na 640,000/=
Leta ukweli.Huu ni uongo
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?Leta ukweli.
Nimekuambia ninachojua sio ninachosimliwa, ukiwa nje ya mfumo unadhani mambo ni rahisi na mnakuwa na matazamio makubwa kuliko uhalisia.
Umesoma heading yake au unakurupuka kujibu ambacho haujaelewa?, hapo ambacho hajauliza ila nimekiongeza ni chama cha wafanyakazi pekee ambacho makato ni 2% au chini ya hapo kidogo kutegemea chama alichopo.Huu ni uongo.
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?
Je watu wote wanajiunga na vya wafanyakazi?
Muulizaji kwa mshahara wa Tsh1,040,000/= take home haipungui Tsh830,000/=
Madihani amedandia gari kwa mbele mkuu, nafikiri hauna haja ya kuendelea kubishana naeUmesoma heading yake au unakurupuka kujibu ambacho haujaelewa?, hapo ambacho hajauliza ila nimekiongeza ni chama cha wafanyakazi pekee ambacho makato ni 2% au chini ya hapo kidogo kutegemea chama alichopo.
Hebu niambie kitu gani nimedanganya hapo?
Sasa kama hudaiwi si utoe na uiweke kwa take home!?Huu ni uongo.
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?
Je watu wote wanajiunga na vyama vya wafanyakazi?
Muulizaji kwa mshahara wa Tsh1,040,000/= take home haipungui Tsh830,000/=
Mkuu kwa kuongeza huyu yuko nssf ,makato yake ni 10% ,sio 5%PSSSF 5%
PAYEE 12%
HESLB 15%
NHIF 3%
CHAMA (mfano TALGWU, CWT n.k ) 2%
Jumla ya makato ni 37% x1040000= 384800.
Hivyo unachobakiza ni 1040000 - 384800= 655,200/=.
Toa makato ya benki na charges nyingine tuseme 15,200/=, hivyo utabaki na 640,000/=
Msaada tafadhali
Sasa unasemaje ni uongo Mkuu, kwani % hazipo sawa?, kama halipi HESLB si anarudisha iyo % kwenye mshahara wake, kifupi kapewa formula tu hapo. Haupo sahihi kusema ni uongo, umekosea Mkuu.Huu ni uongo.
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?
Je watu wote wanajiunga na vyama vya wafanyakazi?
Muulizaji kwa mshahara wa Tsh1,040,000/= take home haipungui Tsh830,000/=
Sawa ninashukru, nilichanganya asilimia na wale wa PSSFMkuu kwa kuongeza huyu yuko nssf ,makato yake ni 10% ,sio 5%
DadadekiPSSSF 5%