A
Anonymous
Guest
Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November.
Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela.
Kadi za Bima (NHIF) za wafanyakazi zipo inactive since October 2023 kisa huohuo ukata, lakini makato ni default.
Hali za kiuchumi kwa wafanyakazi ni ngumu mno, wengi wanaacha kazi, wengine hawajui wanaacha waende wapi.
Naomba wafikishiwe watz ili kama kuna mkono wa mtu wasikike.