Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 8,139
- 14,006
Nimemshangaa sana pia.Umesoma heading yake au unakurupuka kujibu ambacho haujaelewa?, hapo ambacho hajauliza ila nimekiongeza ni chama cha wafanyakazi pekee ambacho makato ni 2% au chini ya hapo kidogo kutegemea chama alichopo.
Hebu niambie kitu gani nimedanganya hapo?