Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF)

PSSSF 5%
PAYEE 12%
HESLB 15%
NHIF 3%
CHAMA (mfano TALGWU, CWT n.k ) 2%
Jumla ya makato ni 37% x1040000= 384800.

Hivyo unachobakiza ni 1040000 - 384800= 655,200/=.
Toa makato ya benki na charges nyingine tuseme 15,200/=, hivyo utabaki na 640,000/=
 
PSSSF 5%
PAYEE 12%
HESLB 15%
NHIF 3%
CHAMA (mfano TALGWU, CWT n.k ) 2%
Jumla ya makato ni 37% x104000= 384800.

Hivyo unachobakiza ni 1040000 - 384800= 655,200/=.
Toa makato ya benki na charges nyingine tuseme 15,200/=, hivyo utabaki na 640,000/=
Huu ni uongo.
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?
Je watu wote wanajiunga na vyama vya wafanyakazi?

Muulizaji kwa mshahara wa Tsh1,040,000/= take home haipungui Tsh830,000/=
 
Huu ni uongo.
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?
Je watu wote wanajiunga na vya wafanyakazi?

Muulizaji kwa mshahara wa Tsh1,040,000/= take home haipungui Tsh830,000/=
Umesoma heading yake au unakurupuka kujibu ambacho haujaelewa?, hapo ambacho hajauliza ila nimekiongeza ni chama cha wafanyakazi pekee ambacho makato ni 2% au chini ya hapo kidogo kutegemea chama alichopo.

Hebu niambie kitu gani nimedanganya hapo?
 
Madihani amedandia gari kwa mbele mkuu, nafikiri hauna haja ya kuendelea kubishana nae
 
Huu ni uongo.
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?
Je watu wote wanajiunga na vyama vya wafanyakazi?

Muulizaji kwa mshahara wa Tsh1,040,000/= take home haipungui Tsh830,000/=
Sasa unasemaje ni uongo Mkuu, kwani % hazipo sawa?, kama halipi HESLB si anarudisha iyo % kwenye mshahara wake, kifupi kapewa formula tu hapo. Haupo sahihi kusema ni uongo, umekosea Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom