Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Nimekuwa nikipata muda japo si mara zote kufatilia vipindi vya Bongo movie vya huyu mtangazaji machachari Joyce Kiria tangu akiwa Channel ten na sasa EATV,kwakeli namkubali for me she is presetable and nice woman.

Lakini inasemekana habari zake nje ya kazi ni mbovu sana.

Je, ameolewa, ana watoto wangapi na mume wake anaitwa nani?
 
Attachments

  • joyy.jpg
    joyy.jpg
    28.3 KB · Views: 1,325
Ni creative, amejitahidi kwa kweli,
Ameolewa na DJ Nelly wa Clouds FM, kwa sasa ni mja mzito nafikiri ndo uzao wake wa kwanza!!!
 
waliachana na DJ nELLY NA KESSY ILIKUWA IKO MAHAKAMANI DEMU ANADAI TALAKA SIJUI IMEISHIA WAPI KWA HIYO NINA MASHAKA NA HUO UJAUZITO KAMA NI WA DJ NELLY
 
Na alisema siku hakimu anampa talaka atafanya bonge la sherehe kama siku anaolewa, akisindikizwa na tarumbeta mpaka mahakamani. Sijuhi wametibuana nini na mumewe maana sijawahi ona toka nizaliwe mtu anashadadia talaka hivyo

waliachana na DJ nELLY NA KESSY ILIKUWA IKO MAHAKAMANI DEMU ANADAI TALAKA SIJUI IMEISHIA WAPI KWA HIYO NINA MASHAKA NA HUO UJAUZITO KAMA NI WA DJ NELLY
 
huyo mtu hana lolote, ametolewa mbali sana na dj.nelly kipindi hicho ata hajulikan kokote.., jamaa akamtafutia kazi channel ten coz mshikaj alikua close na media za bongo sa huyo alvyoanza kujulikana akaanza kumwekea nyodo mwenzake mpka kasababisha mchiz kufkuzwa cloudz fm inasemekana kuna ufujaji ulitokea kwenye sekta yake... sa hz mchzi hana kitu afu ndo anamuomba talaka kasahau alipomtoa.!!! dats al, on ma syd shz nthn
 
she is nothing!yeye ni kama sauda mwilima wa star tv!wanajitahidi kutaka kuonekana watoto wa mjini ila damu ya ushamba haiwabanduki!

Haifai kumponda hivyo, ingawa hayo ni mawazo yako binafsi tu ambayo yanaonyesha sura ya binadamu walivyo na roho za korosho. the girl is cute na anajitahidi aonekane mrembo kumponda hivyo hapa kunakusaidia nini????
 
The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.
 
Du Inasikitisha sana. Lakini yeye mwenyewe aliahidi, kwa shida na raha. Laana itamfikia, Ndoa haichezewi hata siku moja. Wapo walioichezea tunawaona walivyo hivi sasa.

ndoa za watu mziachage jamani, hamuwezi jua wameshindwana nn zaidi ya haya maneno ya humu, ukweli wanaujua wenyewe...
 
yaani ninapo fikiri tu kwamba naweza oa then demu ajenizengua hamu yote inakufa
 
The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.

duh.this is really sad,that what i say wanawake hawaridhiki and hawawezi vumilia shida most of them,,
I say now days most of mapenzi ni pesa and not true!!!
This completely proves!!
 
makosa yao,bana lazima u test kama huyu mtu ataweza kunivumilia nikiwa sina pesa ndio uoe,kama ulijifanya wewe ndio kidume kwa kuwa muhongaji mzuri kipindi cha uchumba,then siku akikuacha kisa pesa zimeisha usilalamike!
 
The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.

Mmmmmh..GK!!
 
Loo! Mungu atamsaidia Dj,
 
Back
Top Bottom