Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

Na alisema siku hakimu anampa talaka atafanya bonge la sherehe kama siku anaolewa, akisindikizwa na tarumbeta mpaka mahakamani. Sijuhi wametibuana nini na mumewe maana sijawahi ona toka nizaliwe mtu anashadadia talaka hivyo

nilisoma kwenye blog ya dina sjui vle..joyce aloikuwa anapondana na mmme wake dail
et sjui mwanaume gan anatoka na maji matakon..bra bra bra hamfikish...kdude kdgo..akidind...:rant::rant::rant:
na yeye nely pamoja na wapambe wake wanatoa madongo....basi raha tu
kikaz yes nampenda n anaongelea sana swaga za haki za wanawake...kikaz nampenda ayo matalaka yake hayanihusu lakin km vp asiyukane sana cz nw anajijenda fesh kikaz asiharibu kaz pcha yake...UTOTO WALIOKUWA WANAUFANYA NA NELLY WA KUUMBUANA HADHARAN WAACHE
 
hahahahaa yaani ndoa hizi....
 
Si kila mwanamke ni wa kuolewa......si kila mwanaume ni wa kuolewa naye....hayo maji yalianza kutoka aliwa kwenye ndoa? hicho kidudu kilikuwa kidogo akiwa kwenye ndoa??? kazi kweli....anyway,usilolijua ni kama usiku wa giza....kuta zinaficha mengi!
 
huyo mtu hana lolote, ametolewa mbali sana na dj.nelly kipindi hicho ata hajulikan kokote.., jamaa akamtafutia kazi channel ten coz mshikaj alikua close na media za bongo sa huyo alvyoanza kujulikana akaanza kumwekea nyodo mwenzake mpka kasababisha mchiz kufkuzwa cloudz fm inasemekana kuna ufujaji ulitokea kwenye sekta yake... sa hz mchzi hana kitu afu ndo anamuomba talaka kasahau alipomtoa.!!! dats al, on ma syd shz nthn

Mambo ya wawili (in this case, Joyce na Dj Nelly) ni vigumu kujua kwa uhakika nini kimewakuta hivyo talaka, furaha ya kupata talaka, n.k ni usiku wa giza kwetu.

Ni kweli Joyce anapambana sana na ingekuwa vyema wakina daa/mama wengine wakaiga ukitilia maanani alikuwa na historia ngumu kama tuliyoelezwa (of course kama ni kweli!).
 
Nijuavyo mimi, Joyce Kiria ameachana na Nelly, na alipost picha zake akienda kutambulishwa na mumewe mpya huko Uchagani, na ndo mwenye mimba. Mimi i was fan mkubwa wa Joyce Kiria, she is creative and confident. But niliwah kusoma makala yake moja kuwa ametembea na wanaume idadi yake haikumbuki coz alikuwa mzuri hivyo asingeweza kufanikiwa kuwakataa-according to yeye. Hivyo Nelly alipaswa alitambue hili. Kinachoniboa kuhusu Joyce now...anajiona amekuwa Tyra Bank, hivyo anajisahau na kujishaua mno, kiasi kwamba anaharibu kazi yake. Me sijabuy idea yake eti alikuwa Housegirl, anataka kujipa Umaarufu wa kina Oprrah. Sina chuki naye, Nilikuwa nampenda sana but now she is out of the track, analewa Umaarufu.
Namfatilia kwa karibu sana, nachoweza kusema she is not smart gal. antumia mwili wake kama kigezo cha kutokea.
Achukue mifano kama kina Irene Kiwia, she is Smart, confident, and creative and beautiful.
kama kweli haya ni ya kweli, what goes around comes around. malipo hapahapa.
 
Dj NELLY naye inaelekea anapenda ma house girl, kuna ki house girl flani nacho alikuwa anatembea nacho zamani enzi hizo yuko secondary azania , so ma beki tatu ndio zake
 
Dua la kuku...
joyce kiria, amini usiamini, kama kweli ulimfanya huyu jamaa kitu mbaya, kuna siku utakuja kulia machozi ya damu. hata hivyo shukuru jamaa ni ----, ningekuwa mimi wewe na yule kada msingekuwepo hapa duniani. shukuru jamaa ni mstaarabu sana.ulifanya kitu kibaya sana, ni kweli mlishaachana kila mtu ana maisha yake lakini itatakiwa ufike kipindi ukubali ukweli, uregret na utubu ili nafsi iache kukusuta kwasababu kama haitakupata wewe itawapata hata watoto, ni laana inaenda hadi kizazi cha nne.
 
binafsi siyaoni mafanikio ya kiria ni yapi, kawaida sana,kuna watu kila siku wanakesha kwenye TV lakini bado tunawaona wanapiga vumbi tu,kwenye TV atajaza ma karolaiti na mapoda pamoja NA marasta but ktk maisha take binafsi,nothing
 
joyce kiria, amini usiamini, kama kweli ulimfanya huyu jamaa kitu mbaya, kuna siku utakuja kulia machozi ya damu. hata hivyo shukuru jamaa ni ----, ningekuwa mimi wewe na yule kada msingekuwepo hapa duniani. shukuru jamaa ni mstaarabu sana.ulifanya kitu kibaya sana, ni kweli mlishaachana kila mtu ana maisha yake lakini itatakiwa ufike kipindi ukubali ukweli, uregret na utubu ili nafsi iache kukusuta kwasababu kama haitakupata wewe itawapata hata watoto, ni laana inaenda hadi kizazi cha nne.

Hahahaaa yaani we unachekesha kweli!
Mungu sio Athuman kusema kwamba utamuambukiza chuki hata akae analaani watu hovyo!
 
wazee wa chadema huyu si ni shemeji yenu? bwana wake alivyotiwa ndani na kesi ya ugaidi si mlimsaidia kuandamana leo hamumjui bwana wake mnamjua nelly tu aliyeachwa
 
180372_189478104405733_100000306346536_561850_7806672_n.jpg

Alishaachana na mumewe kitambo na talaka hii kaisambaza mwenyewe Joyce mitandaoni, kwa amebarikiwa kupata baby girl by the name Michelle amezalishwa na chalii mmoja kutoka Kilimanjaro they are very happy indeed.
Hivi joyce ana mtoto wa kike? Ninao waona ni wa kiuke wawili
 
Back
Top Bottom