Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

Lete nikusaidie!! mbona nimeweka na matangazo ya huduma hii? uwe unasoma mpwa, it is a free service, yes I mean it is FREE, NO charges either in cash or in kind!! mlete basi, just PM ntakuwekea ka namba kangu ka voda au zaina!!

We una lako jambo maana umeng'ang'ania mlete... ..mlete
 
Yaani ninyi watoto mnataka mfunzwe hadi kusema I LOVE YOU? Ok acha tukufunze

1. Kwanza mwambie how beatfull she is and the way you feel about her.Look at her positives eg good legs, hairs, figure etc.
2.Then tell her that she is the only creature in this world which makes you tick
3.Assure her that you will love her forever and tha should not be worried by a thing
4.Lastly tell her tha all the money you have is hers from now on till death parts you.

Aisee......kumbe?!!! Una mademu wangapi hadi sasa? Seems uko very smart in that area. Plse locate me where to find u to rest the case........
 
Kama hujawahi ongea naye mfuate then umuulize ujinga nikiwa namaanisha muulize chochote kitakachomfanya acheke kama vile unatamani ungekuwa jeans au skirt yake, ama umemuona kupitia mbali ukaona uende kusoma blouse yake au kumwambia kwamba arudishe nguo ya mdogo wake au imemkaa vizuri kama mko kituoni mwasubiri gari muulize anaonaje ukimbeba na kumuingiza ndani ya daladala la mbagala kupitia dirishani?

Akicheka kwisha kazi unaendeleza stori hapo hapo...then baada ya muda unatoa simu yako unamnyooshea straight kabisa na matiti yake usiyaguse tafadhali utaharibu picha...wanawake wanajihami mapema sana...mara tu utakaponyoosha simu yako mbele ya hayo matiti huku unayaangalia unamwambia akuandikie namba yake ya simu.

Akikataa unaondoka to try another day different trick usilazimishe maana utaonekana uko desperate sana na hao hawataki wanaume desperate. Lazima uonyeshe kwamba unao uwezo wa kupata mwanamke mwingine na yeye ni mmoja kati ya samaki wengi. Ukiondoka unaenda moja kwa moja bila kugeuka wala kuonyesha umedhoofika ama vp IKISHINDIKANA HII NIAMBIE NIKUPE NYINGINE.
 
Aisee, kumbe? Una mademu wangapi hadi sasa? Seems uko very smart in that area. Plse locate me where to find u to rest the case

Sasa unataka shule au to find me? Unaweza pata degree online so do not starve locating me bana.
 
Mfuate tabasamu kwanza, mwambie umemdondokea kwa sana halafu atakachojibu unaendelezea hapo hapo.
 
mwandikie barua.

..salaam sana na baada ya salaam ningependa kujua hali yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu (mmh..ila tupo jirani..any way..).
Dhumuni la barua hii ni kutaka unapendelea masomo gani, unapendelea kula chakula gani na kwenda wapi. Je wazazi wako ni wakali?. Pia nakupenda kwa dhati na kwa hali na mali, umasikini na utajiri hadi hapo mbingu na nchi zitakapokutana.
..................aaah hapo pagumu kuendelea. HAPO SASA SAWA.
 
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi......
Mfuate na umwambie "tafadhali dada, mkojo unanibana.... naomba unikojoleshe...." Bila shaka umefikisha ujumbe sawia.... tena bila kulichakachua.....
 
Mfuate na umwambie "tafadhali dada, mkojo unanibana.... naomba unikojoleshe...." Bila shaka umefikisha ujumbe sawia.... tena bila kulichakachua.....

tena uzuri siku hizi wakina dada hawataki longo longo...oooh sijui nakupenda sana ...ooohhh sijui nakufeel honey!NO, wanataka uende straight kwenye point!''binti mimi nataka hiyo mbunye yako kwani nyege zimenizidi, sema kama utanipa au hunipi nisepe zangu''
 
Mpwa nimekumbuka njia hii, tuliitumia sana tulipokua kijijini enzi hizo, naskia bado inafanya kazi sana, mwandikie barua, jieleze kua usiku hukulala ulikua unamuota tu, irembe kadiri uwezavyo, kama aya mbili hivi insisting on the same thing, kisaha aya nyingine, mwambie nikinywa maji nakuona kwenye glasi, eleza kwa ufasaha kua hata akicheka tu, kwako mvua inanyesha kuleee...labda kuna wengine waweza ongezea baadhi ya verse hapa... nawakumbuka na nimewaona wamo humu
 
Mpwa nimekumbuka njia hii, tuliitumia sana tulipokua kijijini enzi hizo, naskia bado inafanya kazi sana, mwandikie barua, jieleze kua usiku hukulala ulikua unamuota tu, irembe kadiri uwezavyo, kama aya mbili hivi insisting on the same thing, kisaha aya nyingine, mwambie nikinywa maji nakuona kwenye glasi, eleza kwa ufasaha kua hata akicheka tu, kwako mvua inanyesha kuleee...labda kuna wengine waweza ongezea baadhi ya verse hapa... nawakumbuka na nimewaona wamo humu

siku hizihawataki hii njia, hata uende kwa vitoto vya shule ya msingi!sana sana mtu mzima unaweza aibika ukakutwa unatongozwawewe badala yake!
 
mwanamayu kwani ukishakubaliwa kwenye barua si ndo kashapiga bao la kisigino inabaki kumalizia wavuni.
 
siku hizihawataki hii njia, hata uende kwa vitoto vya shule ya msingi!sana sana mtu mzima unaweza aibika ukakutwa unatongozwawewe badala yake!

Ntafurahi!!! basi mpwa wetu si afanye hivyo ili ageuziwe kibao yaani atongozwe yeye then awe mpole, Hii kali yaani nimtongoze mwanamke then aniambie hapana hapo ulikosea, ulitakiwa kuniambia hivi...!!!! MMmmmhh haya
 
Weeeehhh, wanikumbusha UNCLE yangu mmoja, tukiwa wadogo mtaani, jamaa kichaa kweli, alikuwa atupa mafundisho, alafu akutuma, ukishindwa!, unapata jamaa yeye ndio ana mega. UNCLE alikuwa mkali sana kwa mambo hayo ya kunoa vijana, mpaka leo UNCLE hajaoa!!
Ukitaka naweza kukupa namba yake akusaidie!.
 
Back
Top Bottom