Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,306
- 1,993
Wakuu ameni iwe kwenu.
Wakuu nimefanya uchunguzi wangu ambao siyo rasmi nimegundua nyumba karibia zote kwa mji ninaoishi hazijawekewa KINGA RAD isipokuwa majengo ya benki tu ndiyo yamewekewa.
Maswali yangu.
1. Hizi KINGA RADI zinauzwa kwenye maduka gani?
2. Gharama zake zikoje?
3. Je, hufungwa na wataalamu gani?
4. Umuhimu wake kwa majengo ikoje? Maana naona majengo mazuri na ya gharama hayana hii kitu.
4. Je, nyumba Yako we mwana jf ina KINGA RADI?
Naombeni msaada wataalamu wetu mliopo hapa JF.