Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 990
Ww uko chuo bado ww! Ivi ni Mwajiri gani anaangalia Matokeo ya form four ndio ajiri? Mkimaliza huko mkakuta kazi ina taka experience fresher mnaanza kutoa povu, Nani ajiri graduate asiejua ABC amharibie kazi????lkn pia wewe una D 4 umeenda kusoma diploma, mwenzio less say ana B+ zote kwenye comb yake mkipeleka vyeti kwa ajili ya interview utakuwa shortlisted waache B+? tuache kudanganya! tukubali tu kuwa diploma ni option na ni altenative pale mtu anapokua ameteleza lkn siyo ya kulinganisha na advance.