Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 792
- 2,008
Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
Alikuwa laiguanani,sungusungu wa kabila na liutenant wa jeshi.Any more "Kuestions"?Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowasa katika msiba wake
Sio kweli! Lowasa hakuwahi kuwa mwanajeshi! Tofautisha JKT (Jeshi la kujenga taifa) na JW (Jeshi la wananchi). Mwenye cheo cha kuitwa mwanajeshi ni yule aliyewahi kupitia mafunzo ya JW na kufuzu. Wanajeshi wana namba zao na namba ya kikosi alichokuwepo na mwaka alikofuzu! Hata ukimwamsha usingizini mwanajeshi lazima akutajie namba hiyo! Lowasa alipitia tu JKT kwa mujibu wa sheria za nchi kipindi hicho ilikuwa ni lazima!Aliwahi kuwa mwanajeshi.
MUONGO! MUONGOAlikuwa mwanajeshi kamasijakosea mwenye cheo cha luteni kabla ya kuachana na jeshi na kuingia rasmi kwenye siasa sio lowasa tu hata Jk , Kinana wote walikua soldiers hapo monduli wakaona wazamie kwenye siasa.
Sasa kuhusu kuzikwa kijeshi siunajua tena ONCE A SOLDIER IS ALWAYS A SOLDIER.
Uongo ni upi apo?MUONGO! MUONGO
Lowasa hakuwahi kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi (JW)Uongo ni upi apo?
wewe utakuwa na tumbo la kuharisha-lowassa hajawahi kuwa mwanajeshi?Sio kweli! Lowasa hakuwahi kuwa mwanajeshi! Tofautisha JKT (Jeshi la kujenga taifa) na JW (Jeshi la wananchi). Mwenye cheo cha kuitwa mwanajeshi ni yule aliyewahi kupitia mafunzo ya JW na kufuzu. Wanajeshi wana namba zao na namba ya kikosi alichokuwepo na mwaka alikofuzu! Hata ukimwamsha usingizini mwanajeshi lazima akutajie namba hiyo! Lowasa alipitia tu JKT kwa mujibu wa sheria za nchi kipindi hicho ilikuwa ni lazima!
Badala ya kubishana, kila mtu atuletee ushahidi kuonesha kuwa Lowasa alikuwa mabakabaka ama la!wewe utakuwa na tumbo la kuharisha-lowassa hajawahi kuwa mwanajeshi?
Hujui halafu hujui kama hujui.Sio kweli! Lowasa hakuwahi kuwa mwanajeshi! Tofautisha JKT (Jeshi la kujenga taifa) na JW (Jeshi la wananchi). Mwenye cheo cha kuitwa mwanajeshi ni yule aliyewahi kupitia mafunzo ya JW na kufuzu. Wanajeshi wana namba zao na namba ya kikosi alichokuwepo na mwaka alikofuzu! Hata ukimwamsha usingizini mwanajeshi lazima akutajie namba hiyo! Lowasa alipitia tu JKT kwa mujibu wa sheria za nchi kipindi hicho ilikuwa ni lazima!
Ficha basi ujinga japo kidogo Mkuu. Omba kuelimishwa ili ufahamu, sio unakaza fuvu tu hapa.Sio kweli! Lowasa hakuwahi kuwa mwanajeshi! Tofautisha JKT (Jeshi la kujenga taifa) na JW (Jeshi la wananchi). Mwenye cheo cha kuitwa mwanajeshi ni yule aliyewahi kupitia mafunzo ya JW na kufuzu. Wanajeshi wana namba zao na namba ya kikosi alichokuwepo na mwaka alikofuzu! Hata ukimwamsha usingizini mwanajeshi lazima akutajie namba hiyo! Lowasa alipitia tu JKT kwa mujibu wa sheria za nchi kipindi hicho ilikuwa ni lazima!