Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

Alikuwa mwanajeshi kamasijakosea mwenye cheo cha luteni kabla ya kuachana na jeshi na kuingia rasmi kwenye siasa sio lowasa tu hata Jk , Kinana wote walikua soldiers hapo monduli wakaona wazamie kwenye siasa.
Sasa kuhusu kuzikwa kijeshi siunajua tena ONCE A SOLDIER IS ALWAYS A SOLDIER.
 
Aliwahi kuwa mwanajeshi.
Sio kweli! Lowasa hakuwahi kuwa mwanajeshi! Tofautisha JKT (Jeshi la kujenga taifa) na JW (Jeshi la wananchi). Mwenye cheo cha kuitwa mwanajeshi ni yule aliyewahi kupitia mafunzo ya JW na kufuzu. Wanajeshi wana namba zao na namba ya kikosi alichokuwepo na mwaka alikofuzu! Hata ukimwamsha usingizini mwanajeshi lazima akutajie namba hiyo! Lowasa alipitia tu JKT kwa mujibu wa sheria za nchi kipindi hicho ilikuwa ni lazima!
 
MUONGO! MUONGO
 
wewe utakuwa na tumbo la kuharisha-lowassa hajawahi kuwa mwanajeshi?
 
Sio kweli! Lowasa hakuwahi kuwa mwanajeshi! Tofautisha JKT (Jeshi la kujenga taifa) na JW (Jeshi la wananchi). Mwenye cheo cha kuitwa mwanajeshi ni yule aliyewahi kupitia mafunzo ya JW na kufuzu. Wanajeshi wana namba zao na namba ya kikosi alichokuwepo na mwaka alikofuzu! Hata ukimwamsha usingizini mwanajeshi lazima akutajie namba hiyo! Lowasa alipitia tu JKT kwa mujibu wa sheria za nchi kipindi hicho ilikuwa ni lazima!
Hujui halafu hujui kama hujui.
 
Ficha basi ujinga japo kidogo Mkuu. Omba kuelimishwa ili ufahamu, sio unakaza fuvu tu hapa.
 
Back
Top Bottom