Tumekuzoea hivyo mkuu usipoteze hii identity!
Chukua jina langu halafu mimi nitatafuta jina lingine :behindsofa:
te,te,tee, maybe, afrotupu!!!!! hahahahaha, lol. Good proposal, thank you.
te, te,te , Acha kunibania. Jina zuri hilo, afrotupu & afrodenzi. hapo jukwaa litawaka moto.mmmhh afrotupu..
mmmhh hilo baya bwana ..
mie nilidhani weye mtaalum wa majina...
mmhh usiniangushe hahah lol
te, te,te , Acha kunibania. Jina zuri hilo, afrotupu & afrodenzi. hapo jukwaa litawaka moto.
Poa ngoja nicheck mengine.