Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,138
Maana siti ya nyuma ya huyo jamaa iko tupuHii gari ina seat moja tuu?
Halafu ukipanda gari ya namna hii maana yake inakwenda au inatoka ama inapitia hospitaliMaana siti ya nyuma ya huyo jamaa iko tupu
Umejaribu nzuribibi atakumbatia mtoto akikataa kumkumbatia anapewa kiti mama na mtoto aweze kunyonyesha.
swissme
hahaahhaha inaitwa the last bus.Wakae tu siti nyengine kama imejaa wasubiri gari nyengine
Hapo nampokea huyo mama mtoto halafu namwambia aendelee kusimama
Kuachiwa mtoto mbona ni baraka kubwa sana kwangu huwezi juu huyo mtoto akikua atakuwa nanimkuu siku izi utaachiwa mtoto ooohhoo