Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,262
- 12,890
Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel.
Pasipo kujali kiwango gani cha silaha za maangamizi alizonazo Israel lakini hali ya mapambano kudai haki yao wanaionesha kwa kadili ya nguvu zao.
Moyo wa kimapambano ndio tuliokosa Watanzania dhidi ya udhalimu na utapeli wa CCM.
Hatupo tayari kupambana na CCM kwa namna yoyote ile inasikitisha kwa kweli.
Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu ? Ni sisi wenyewe Watanzania tulio na mioyo ya kike na tumekosa mioyo ya kiume ya mapambano kama waliyo nayo Wapalestine chini ya Hamas.