Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,058
12,443
Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel.

Pasipo kujali kiwango gani cha silaha za maangamizi alizonazo Israel lakini hali ya mapambano kudai haki yao wanaionesha kwa kadili ya nguvu zao.

Moyo wa kimapambano ndio tuliokosa Watanzania dhidi ya udhalimu na utapeli wa CCM.

Hatupo tayari kupambana na CCM kwa namna yoyote ile inasikitisha kwa kweli.

Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu ? Ni sisi wenyewe Watanzania tulio na mioyo ya kike na tumekosa mioyo ya kiume ya mapambano kama waliyo nayo Wapalestine chini ya Hamas.
 
Pasipo kujali kiwango gani cha silaha za maangamizi alizonazo Israel lakini hali mapambano kudai haki yao wanaionesha kwa kadili ya nguvu zao.

Moyo wa kimapambano ndio tuliokosa Watanzania dhidi ya udhalimu na utapeli wa CCM.

Hatupo tayari kupambana na CCM kwa namna yoyote ile inasikitisha kwa kweli.

Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu ? Ni sisi wenyewe Watanzania tulio na moyo ya kike na tumekosa mioyo ya kiume ya mapambano kama waliyo nayo Wapalestine chini ya Hamas.
Uhuru kama sio wazee wa kiislamu kuingilia hadi leo Muengereza angalikuwa anatawala Tanganyika
 
Uhuru kama sio wazee wa kiislamu kuingilia hadi leo Muengereza angalikuwa anatawala Tanganyika
Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel.

Pasipo kujali kiwango gani cha silaha za maangamizi alizonazo Israel lakini hali ya mapambano kudai haki yao wanaionesha kwa kadili ya nguvu zao.

Moyo wa kimapambano ndio tuliokosa Watanzania dhidi ya udhalimu na utapeli wa CCM.

Hatupo tayari kupambana na CCM kwa namna yoyote ile inasikitisha kwa kweli.

Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu ? Ni sisi wenyewe Watanzania tulio na mioyo ya kike na tumekosa mioyo ya kiume ya mapambano kama waliyo nayo Wapalestine chini ya Hamas.
Kama kupambana kwenyewe ndio gaza kugeuzwa vifusi vile na wapalestina kufa kama kuku wa mdondo bora tukose tu moyo
 
Marekani, Uengereza, NATO wote wapo pale..kama inapigwa Vatikan wakiristo wote duniani wangalikuwa washajificha kwenye mashimo na majoho ya mapadri yangalikuwa yashatupwa. Kila mmoja angalikua muyahudi
 
Nato, marekani , uingereza wapo wapi mbona wewe mnafiki na muwongo hivi mataifa haya makubwa ni wakupigana na hamas wanaojificha nyuma za wowo za wanawake wa Gaza na watoto
 
Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel.

Pasipo kujali kiwango gani cha silaha za maangamizi alizonazo Israel lakini hali ya mapambano kudai haki yao wanaionesha kwa kadili ya nguvu zao.

Moyo wa kimapambano ndio tuliokosa Watanzania dhidi ya udhalimu na utapeli wa CCM.

Hatupo tayari kupambana na CCM kwa namna yoyote ile inasikitisha kwa kweli.

Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu ? Ni sisi wenyewe Watanzania tulio na mioyo ya kike na tumekosa mioyo ya kiume ya mapambano kama waliyo nayo Wapalestine chini ya Hamas.
wavivu wanapaswa kulaumiana wao kwa wao kwa umaskini wao na wenye fikra za ubaguzi wa kijinsia 🐒

ati mioyo yakike 😳
 
Uhuru kama sio wazee wa kiislamu kuingilia hadi leo Muengereza angalikuwa anatawala Tanganyika
Muingwreza hajawahi kuwa mkoloni wa Tanganyika uongo.Mkoloni wa Tanganyika alikuwa mjerumani
Aliposhindwa vita Ulaya Tanganyika ilikabidhiwa kwa muingerexa kama Protectorate yaani Mwingereza atuangalie tu hadi tutakapokuwa tayari kujitawala atukabidhi .Tulipokuwa tayari akatukabidhi bila hata shida wala kumwaga damu
 
Kwa Mujibu wa bible Gaza wanaishi wafilisti.tangu enzi Mungu alitafuta kisa Cha kuwadunda mfano Samson ktk waamuz na ukitulia ukasoma vizur utaona hawatakiw hata huruma
 
Kwa hiyo hao Wapalestina kupambana kwao kumewafanya kuwa matajiri?
Utajiri wa kwanza ni kujitafutia uhuru wa kweli,heshma na haki ya kuiishi.
Ukiwa mjinga saaana huwezi elewa hilo.
Katiba ya tzi inampa mtu mmoja na kikundi akipendacho haki ya kuamulia wooote atakavyo yeye na genge lake,ni aibu kuu Leo nchi inajiita inawatu werevu na inaongozwa na katiba ya kikoloni!!!
 
Back
Top Bottom