Ni maajabu ila ni simulizi la ukweli kabisa,Dada mmoja kafunga ndoa mwezi mmoja haujaisha,Mumewe yupo mbali kikazi,Na kabla ya hapo alikuwa na uhusiano na kibosile mmoja wa council.Sasa baada ya kutoka kufunga ndoa na honeymoon week hii kampigia simu hawara yake na kumwambia amerudi na kuapa kuwa wataendelea kula tunda hapo mwanamme kwa furaha kabisa akukubaliana kuwa ukiwa na hamu nishitue nikukamiishie raha hiyo;Mwana ndoa katoa sharti kuwa lazima iwe nje ya wilaya ndipo wata du!!!True story experience''''