Nani mmiliki wa Primefuels (T) Ltd?

Hivi huwa hamjuwi kama data za makampuni yote yaliyosajiliwa Tanzania hupatikana pale BRELA?
Asingeuliza usingejibu kumbe ndiyo maana kauliza ili ujibu. Nenda BRELA sasa utuletee jibu maana unajua linapopatikana.
 
One source of mine imeniambia kua hii kampuni ni subsidiary ya Barrick,ambayo ipo specifically kwa kupeleka mafuta ya kuendeshea mitambo migodini. If it is so then why has Barrick done so? Are there no reliable local fuels transporters in TZ? What is the trickle down effect of Barrick owned mines in the fuel transportation sector?

If there are those who have more information of this company please help me.

Hii ni kampuni iliyoanzia Kenya na kwa mara ya kwanza ilianza kufanya kazi na Shell Tanzania wakipeleka mafuta mgodi wa dhahabu wa Geita. Baada ya Shell kupoteza mkataba, BP walilithishwa yote yaliyokuwepo ikiwemo mkataba wa usafirishaji wa mafuta, hivyo Primefuels iliendelea kuwa transporter wa mafuta ya GGM. Hivi karibuni mkataba ulifanyiwa marekebisho na kuipata nafasi Primefuels kufanya kazi moja kwa moja na GGM badala ya kupitia kwa supplier wao wa mafuta. Sina hakika kama Primefuels inafanya kazi na Barrick, ila wanapeleka mafuta mengi Zambia, DRC Congo na hata Mtwara kwenye operations za RIG za utafiti wa mafuta.
 
Jamani ... Hebu Mwacheni mtu wa watu ingawaje ustaarabu si jambo la kununulika dukani... nina maana kwamba alieuliza swali ana maana yake na hakuna haja ya kuparura kama makucha ya nyau bila sababu....

Pli Neno thick ni la kawaida kabisa na ni tusi kubwa kwa wazungu ...mtu asije kukuambia are you thick ukafikiria amekosea akimaanisha are you sick... zote thick na thick ni matusi ya wazungu yanayobeba uzito tofauti...

Are you thick ni kama vile mtu akikuambia hivi wewe ni taahira kichwani?
Na akikuambia are you sick ni kama vile amekuambia vipi una upungufu wa mawazo? au hivi wewe ni opunguani wa akili?

Neno Thick ni tusi kubwa kuliko sick maana haya manano hutumia mara nyingi na wazungu wenye ma hasira yao au kama wakiudhiwa na mtu kama wewe na mimi waweza kusema hivyo in a heat of the moment.... hii ni kwa tafsiri yangu na tafadhalini msije mkanikimbilia kuniambia hebu leta source... haya ni maneo ya mitaani sana kama vile maneno kihiyo, zezeta, zuzu, Jero au wekundu wa msimbazi yanavyotumika kwa kiswahili cha kawaida....


... Ni kweli. Mtu kukuambia 'You are Thick' ni sawa tu na kukuambia 'Wewe ni Mbulula ama Zumbukuku', kitu kama hicho, na kamwe si neno jema wala la kistaarabu kulitumia kwa mwenzako ambaye ameuliza tu swali. Huna jibu, unapita tu kwa Amani. Heshima ni Kitu cha Bure Wandugu.

 
Are you thick or something!!!!??????
Wewe inakuhusu nn hata zikiwa elfu, Wabongo mmejaa majungu tu, fanyeni kazi mnunue ya kwenu. Hamkawii kusema RA na EL kwa jinsi mlivyo wazito kufikiri.
Shame on you......

Wewe ndio una matatizo ya akili,we unajua kauliza kwa nia gani
mpaka uhar.e kiasi hicho
 
Kama naweza unganisha dots...

Paul Eloff,
General Manager Primefuels Tanzania

Qualifications :
Paul Eloff joined the group from 1st February 2009 from BP Tanzania Ltd, where he had worked as the Financial controller. Paul is a graduate engineer and a Chartered Accountant, South Africa. He brings in a wealth of experience from the Oil industry in Southern Africa as well as in the engineering field in South Africa. The Operations Manager in Tanzania is Hadya Basavalingappa who has been with the Company for over 6 years. (source: www.primefuel.com)

Huyu kama ni south African, ametokea BP baada ya kutangazwa kuuzwa na alikuwa financial controller, inawezekana amesoma ramani huko Primefuels na kuona kuna deal kama sio kati ya shareholders.

Ni mawazo yangu tu.
muhusika yupo dubai anaitwa asif na hadya sasa hivi ni manager wa tanzania zamani alikuwa operations manager . mkuu wa nchi naye nasikia ana kamchango kake humo
 
Wadau habarini za kazi..nmekua nikikutana sana na misululu ya haya magari hasa kwa njia ya kanda ya ziwa yaan yapo mengi kiasi cha mimi kufikia kushangaa. So mwenye details zaidi anipe nani mmiliki wake japo nipate kumfaham mtanzania mwenzangu mwenye uwekezaji mkubwa kwenye sector ya mafuta.
ATTACH=full]340579[/ATTACH]
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1461055707.000460.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1461055707.000460.jpg
    43.4 KB · Views: 73
Salaam wanaJF!

Hiyo kampuni ni ya usafirishaji wa bidhaa za mafuta (petroleum). Na destination yao ni kwenye migodi ya madini inayomilikiwa na Barrick kupitia kwa African Barrick!

Hii kampuni ina lorries zaidi ya 100! Kwa wale wanaokaa pembezoni mwa barabara ya DSM-Moro-Dom-Singida-Igunga-Kahama-Biharamulo,naamini wanafahamu namna gani hiyo kampuni ilivyo na lorries za kumwaga.

Sasa mmiliki wake ni nani? Kwani kampuni hiyo inaandikwaga kama PRIMEFUELS (T) LTD! Ina mana ipo pia na nje ya TZ,ya hapa TZ ni kama branch. Nani anamiliki mali yote hiyo?
wakuu, mada kama hizi za kidada dada zinafuataga nini kweli hili jukwaa la intelligence???
 
Back
Top Bottom