Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 675
Ndugu wana JF, Salaam. Leo mchana nikiwa pale Benjamin Mkapa tower,(mafuta house) zilipo ofc za TPDC zilifika taarifa kuwa kuna computer iliyokuwa ikitumia kama data base yenye info zote za machimbo/visima vya mafuta ,gas, imeibiwa katika ofc za zaman za shirika hilo Upanga. Hii ni hatari kwa nchi hasa ukizingatia kuwa watu/mafisadi wasioitakia mema nchi yetu wataanzia hapo kuendeleza hujuma. Pia ieleweke kuwa kuna taarifa za ndani ya shiriki za kiutafiti kuwa imegundulika hifadhi kubwa mno ya gas somewhere mwambao wa bahari. Pia ni hivi majuzi inasemekana kuna mzungu mmoja aliaibika baada ya MD kumwambia ile electronic pen aloiweka mezani kwake aiondoe.hii ilitokea ofcn kwa MD wa TPDC, alipotembelewa na huyu bwana. Hizi ni taarifa za uhakika za ndani. Nawasilisha