Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Mimi nashindwa kuelewa kabisa haya mambo yanafanyika kwa nguvu ya nani? Wizi mtupu, kuanzia kwenye mabank sasa mpaka majeshini! Bado ikulu tu,
ZIMEIBIWA BILLIONS ZA EPA BENKI KUU SEMBUSE COMPUTER TPDC? WATU WASHAZOEA KUIBIWA!
On a more serious note, hizi habari umezipataje? Wewe ni mfanyakazi umeamua kuvujisha siri ya ofc au ulienda kama mgeni ukaiba habari? Tutasubiri vyombo vya usalama vithibitishe hilo. Taarifa za kiintelligensia hazitachelewa!
ZIMEIBIWA BILLIONS ZA EPA BENKI KUU SEMBUSE COMPUTER TPDC? WATU WASHAZOEA KUIBIWA!
On a more serious note, hizi habari umezipataje? Wewe ni mfanyakazi umeamua kuvujisha siri ya ofc au ulienda kama mgeni ukaiba habari? Tutasubiri vyombo vya usalama vithibitishe hilo. Taarifa za kiintelligensia hazitachelewa!
Tufike mahali tuwe na utaratibu wa kuwa na server zaidi ya moja na ziwe more than confidentialNdugu wana JF, Salaam. Leo mchana nikiwa pale Benjamin Mkapa tower,(mafuta house) zilipo ofc za TPDC zilifika taarifa kuwa kuna computer iliyokuwa ikitumia kama data base yenye info zote za machimbo/visima vya mafuta ,gas, imeibiwa katika ofc za zaman za shirika hilo Upanga. Hii ni hatari kwa nchi hasa ukizingatia kuwa watu/mafisadi wasioitakia mema nchi yetu wataanzia hapo kuendeleza hujuma. Pia ieleweke kuwa kuna taarifa za ndani ya shiriki za kiutafiti kuwa imegundulika hifadhi kubwa mno ya gas somewhere mwambao wa bahari. Pia ni hivi majuzi inasemekana kuna mzungu mmoja aliaibika baada ya MD kumwambia ile electronic pen aloiweka mezani kwake aiondoe.hii ilitokea ofcn kwa MD wa TPDC, alipotembelewa na huyu bwana. Hizi ni taarifa za uhakika za ndani. Nawasilisha
Point, na hii ya ngeleja z more than a point, lakini kumbuka ngeleja+RA are friends, na RA ni iranian, is shia na sifa za mashia ni kupita mlango wa nyuma kw marafiki zao!we wamuonaje huyu mh.wa nishati?-Changanya na za kwako upate majibu.... gd 9t
ina maana hawana back-up?Basi watu wa IT watakuwa shagalabagala kama hizo information hazipo kwenye SERVER yao maana shirika kubwa kama hilo hauwezi kusema kuwa eti PC imeibiwa yenye sensitive information halafu hauwezi kupata information utakuwa ni uzembe otherwise tunaweza kusema ni DILI linachezwa
ZIMEIBIWA BILLIONS ZA EPA BENKI KUU SEMBUSE COMPUTER TPDC? WATU WASHAZOEA KUIBIWA!
On a more serious note, hizi habari umezipataje? Wewe ni mfanyakazi umeamua kuvujisha siri ya ofc au ulienda kama mgeni ukaiba habari? Tutasubiri vyombo vya usalama vithibitishe hilo. Taarifa za kiintelligensia hazitachelewa!
Hivi mmesahau kuwa hata laptop ya JK imewahi kuibiwa?
Hivi hapa tunaongelea kupoteza data za utafiti wa nishati na madini au ni kuvuja kwa siri za utafiti wa nishati na madin? Kama ni data kupotea na hatunauwezo wa kuzirecover huo ni upuuzi tu lazima watu hawa wawajibshwe maana data ni asset ambayo thamani yake ni kubwa sana. Huu utakuwa ni ufisadi mwingine mkubwa ni bora mtu akuibie fedha kuliko information muhimu kama hizo . Kama issue ni kuvuja kwa siri ambazo hazikupashwa kujulikana basi pia hili ni hatari maana data hizi lazima zinatafutwa na mafisadi kwa ajili ya kuimaliza tz kama kawaida. Vyovyote vile itakavyokuwa bado ni hasara kubwa. Tubiri tuone matokeo yake tena!ina maana hawana back-up?
Alikwenda nayo Baa au kwenye Birthday?
Ukwelikitugani, kwanza asante kwa hii info kutoka jikoni.Ndugu wana JF, Salaam. Leo mchana nikiwa pale Benjamin Mkapa tower,(mafuta house) zilipo ofc za TPDC zilifika taarifa kuwa kuna computer iliyokuwa ikitumia kama data base yenye info zote za machimbo/visima vya mafuta ,gas, imeibiwa katika ofc za zaman za shirika hilo Upanga. Hii ni hatari kwa nchi hasa ukizingatia kuwa watu/mafisadi wasioitakia mema nchi yetu wataanzia hapo kuendeleza hujuma. Pia ieleweke kuwa kuna taarifa za ndani ya shiriki za kiutafiti kuwa imegundulika hifadhi kubwa mno ya gas somewhere mwambao wa bahari. Pia ni hivi majuzi inasemekana kuna mzungu mmoja aliaibika baada ya MD kumwambia ile electronic pen aloiweka mezani kwake aiondoe.hii ilitokea ofcn kwa MD wa TPDC, alipotembelewa na huyu bwana. Hizi ni taarifa za uhakika za ndani. Nawasilisha
ina maana hawana back-up?
Wenzenu vitu muhimu kama hivyo vinafichwa kwene sefu na Rais tu ndio anakuwa na funguo combinations zisizopungua tatu, wanakuwa nazo watu wasiopungua 3..
Ukwelikitugani, kwanza asante kwa hii info kutoka jikoni.
Kwa ukubwa wa TPDC pc haiwezi kuwa ndio sever wala sever haiibiki kihivyo.
Data muhimu kwa TPDC ni zile zihusuzo prospect za oil na gesi.
Kwa vile TPDC wenyewe hawawezi na hakuna hata kampuni moja ya prospective ambayo ni ya wazawa, inamaana hizo data zote zilizo potea ni secondary data. Primary data ambayo ndiko source bado zipo ni issue tuu ya retriving.
Na kuhusu large reserve ya gas ni kweli ila sio siri TPDC isijifanye ndio waliogundua, wagunduzi wamesha patent ugunduzi wao na nchi yao inasimamia kikamilifu haki miliki na watachimba wenyewe, watahifadhi wenyewe na watauza wenyewe ikiwemo na sisi kuuziwa!.
Nadhani kwa hali hii kikwete atakua ni moja ya marais walikutana na wakati mgumu madarakani kuliko hata nyerere aliyepigana vita ya uganda na tz.
Katika hizo tafiti za gas na visima vya mafuta tz imetumia bilions of money sasa kama data hua wanaweka kwenye saver moja without back up...itakua ni nchi ya ajabu sana hii.
Itakua tumeuzwa siku nyingi....Mi waziri ngeleja sina iman naye kabisa ...yupo yupo tu kama mama wa nyumbani vile!!