Nani kayasikia haya ya TPDC? Hatari

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Ndugu wana JF, Salaam. Leo mchana nikiwa pale Benjamin Mkapa tower,(mafuta house) zilipo ofc za TPDC zilifika taarifa kuwa kuna computer iliyokuwa ikitumia kama data base yenye info zote za machimbo/visima vya mafuta ,gas, imeibiwa katika ofc za zaman za shirika hilo Upanga. Hii ni hatari kwa nchi hasa ukizingatia kuwa watu/mafisadi wasioitakia mema nchi yetu wataanzia hapo kuendeleza hujuma. Pia ieleweke kuwa kuna taarifa za ndani ya shiriki za kiutafiti kuwa imegundulika hifadhi kubwa mno ya gas somewhere mwambao wa bahari. Pia ni hivi majuzi inasemekana kuna mzungu mmoja aliaibika baada ya MD kumwambia ile electronic pen aloiweka mezani kwake aiondoe.hii ilitokea ofcn kwa MD wa TPDC, alipotembelewa na huyu bwana. Hizi ni taarifa za uhakika za ndani. Nawasilisha
 
Kama usalama wa taifa hawahusiki basi utawala wote wa TPDC wafukuzwe kazi maana huu ni upuuzi.
 
inashangaza sana kwanza kubeba hiyo server buckup ukaondoka nayo kwanza umepitia wapi? Akuna ulinzi hapo? Hizo ni dili wamecheza akuna lolote wanatesa sana watanzania na wanaangaika sana jamani
 
ZIMEIBIWA BILLIONS ZA EPA BENKI KUU SEMBUSE COMPUTER TPDC? WATU WASHAZOEA KUIBIWA!

On a more serious note, hizi habari umezipataje? Wewe ni mfanyakazi umeamua kuvujisha siri ya ofc au ulienda kama mgeni ukaiba habari? Tutasubiri vyombo vya usalama vithibitishe hilo. Taarifa za kiintelligensia hazitachelewa!
 
mmh kama habari hii ni ukweli basiinabidi tumuomba sana mungu kwani hawa jamaa wamedhamiria kupukusa nchi hii!
 
nakwambieni iko siku utasikia saver ya jf imeibiwa. we unafikiri wanaipenda jf? subirini siku si nyingi.
 
hii nchi tena haina maana-mana hio sehemu kuna walinzi,na lazma huyo mtu anufahamu mzur wa hio ofisi-maana kaenda kwenye specific computer na kuondoka nayo-YAAN TABU KILA KONA
 
Nadhani kwa hali hii kikwete atakua ni moja ya marais walikutana na wakati mgumu madarakani kuliko hata nyerere aliyepigana vita ya uganda na tz.
Katika hizo tafiti za gas na visima vya mafuta tz imetumia bilions of money sasa kama data hua wanaweka kwenye saver moja without back up...itakua ni nchi ya ajabu sana hii.
Itakua tumeuzwa siku nyingi....Mi waziri ngeleja sina iman naye kabisa ...yupo yupo tu kama mama wa nyumbani vile!!
 
@MsandoAlbert, mkuu hii habari ni kweli kweli tupu.kusema mi mfanyakazi,au nimeiba news hii haina mashiko. Muhimu validity yake. Ni kuwa jamaa walikuwa hawajaihamishia hii database system yao pale ofc zao mpya. Nami nilihoji kuwa iweje mambo hayo muhimu wayaache kule,kama unapafaham zilipokuwa ofc zao utaona kuna ufisadi upo hapa.B'se wamehamia mafuta house karibu mwaka na zaidi. Then tayari kuna watu walishaanza kufatilia bahari. Pia inasemekana walinzi walikula cha Juu.
 
NSSF wametoa basement ya Mafuta house kwa TPDC as Data Centre so Michoro,Ramani na all Electronic Data Base including blocks zenye Gasi na Mafuta zipo apo.kama Pc imeibiwa basi will be with copies of the originals.Hivyo basi akuna cha kuogopa
 
@Chipukizi, ulizia vizuri utaambiwa hizo data bado hazijaingizwa pale Basement unayosema wewe. Kama upo pale au una mtu wa ndani muulize utajua nachokwambia. Mi nimetoa jikoni ndaniiiii..
 
anyways ... ninavyojua resource information kama hizo zinahifadhiwa kwenye server na sio kwenye PC.... ni kama unavyopata e-mail attachments... unaweza ku access doc yako mahali popote hata kama pc au laptop ikaibiwa.... hata huyo aliyeweka hizo info kwenye pc ni wale wale kina makamba
 
Nadhani kwa hali hii kikwete atakua ni moja ya marais walikutana na wakati mgumu madarakani kuliko hata nyerere aliyepigana vita ya uganda na tz.
Katika hizo tafiti za gas na visima vya mafuta tz imetumia bilions of money sasa kama data hua wanaweka kwenye saver moja without back up...itakua ni nchi ya ajabu sana hii.
Itakua tumeuzwa siku nyingi....Mi waziri ngeleja sina iman naye kabisa ...yupo yupo tu kama mama wa nyumbani vile!!

Point, na hii ya ngeleja z more than a point, lakini kumbuka ngeleja+RA are friends, na RA ni iranian, is shia na sifa za mashia ni kupita mlango wa nyuma kw marafiki zao!we wamuonaje huyu mh.wa nishati?-Changanya na za kwako upate majibu.... gd 9t
 
@bluetooth, ingekuwa that simple isingewa-shake wakubwa pale..believe i tel u, hali si salama as u guec..hawajabeba pc as pc, wamechagua ile hasa yenye mambo.. Hivi unafanya mchezo na taasisi za serikali? Uzembe kibao..and afterall wale watu wameachwa muda mrefu bila kuthaminiwa,hata jengo lile kwa juu juu utaona nikama hisani, but ukweli ni kwamba Ni mali yao, na wanalaani iweje Nsssf kuwa wakusanyaji kodi ya pango ya paradise hotel plus many more renting ofcs over there, its mult-billions..so they dont bother at large..
 
Basi watu wa IT watakuwa shagalabagala kama hizo information hazipo kwenye SERVER yao maana shirika kubwa kama hilo hauwezi kusema kuwa eti PC imeibiwa yenye sensitive information halafu hauwezi kupata information utakuwa ni uzembe otherwise tunaweza kusema ni DILI linachezwa
 
Nadhani kwa hali hii kikwete atakua ni moja ya marais walikutana na wakati mgumu madarakani kuliko hata nyerere aliyepigana vita ya uganda na tz.
Katika hizo tafiti za gas na visima vya mafuta tz imetumia bilions of money sasa kama data hua wanaweka kwenye saver moja without back up...itakua ni nchi ya ajabu sana hii.
Itakua tumeuzwa siku nyingi....Mi waziri ngeleja sina iman naye kabisa ...yupo yupo tu kama mama wa nyumbani vile!!

Point, na hii ya ngeleja z more than a point, lakini kumbuka ngeleja+RA are friends, na RA ni iranian, is shia na sifa za mashia ni kupita mlango wa nyuma kw marafiki zao!we wamuonaje huyu mh.wa nishati?-Changanya na za kwako upate majibu.... gd 9t
 
@bluetooth, ingekuwa that simple isingewa-shake wakubwa pale..believe i tel u, hali si salama as u guec..hawajabeba pc as pc, wamechagua ile hasa yenye mambo.. Hivi unafanya mchezo na taasisi za serikali? Uzembe kibao..and afterall wale watu wameachwa muda mrefu bila kuthaminiwa,hata jengo lile kwa juu juu utaona nikama hisani, but ukweli ni kwamba Ni mali yao, na wanalaani iweje Nsssf kuwa wakusanyaji kodi ya pango ya paradise hotel plus many more renting ofcs over there, its mult-billions..so they dont bother at large..

kwahiyo pc kuibiwa ni vita ya TPDC na NSSF.... ninachohoji mimi ni mfumo wa kuhifadhi hizo mmazoziita nyaraka nyeti kama katika nyanja ya IT.... sijui unawezaje hifadhi docs without backup hatakama hujahifadhi kwenye server ambayo ndiyo mfumo proper...... anyways information gani TPDC wanayo ikaibiwa and for what purpose anayeiba atanufaika..... TPDC is a wholly dilapidated corporation.., it has no credibility na ndio maana NSSF wame hijack hilo jengo la Benjamin Mkapa ...sababu TPDC walishindwa hiyo project....
 
@MsandoAlbert, mkuu hii habari ni kweli kweli tupu.kusema mi mfanyakazi,au nimeiba news hii haina mashiko. Muhimu validity yake. Ni kuwa jamaa walikuwa hawajaihamishia hii database system yao pale ofc zao mpya. Nami nilihoji kuwa iweje mambo hayo muhimu wayaache kule,kama unapafaham zilipokuwa ofc zao utaona kuna ufisadi upo hapa.B'se wamehamia mafuta house karibu mwaka na zaidi. Then tayari kuna watu walishaanza kufatilia bahari. Pia inasemekana walinzi walikula cha Juu.

Kuna mambo yanakera sana. Computer yenye sensitive information kama hiyo inawekwa hovyo mpaka inaibiwa kwa sababu gani? Na unaweza kukuta imeibiwa mwezi uliopita ndio wameshtuka leo au jana!!

Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuelewa huu uzembe ila usishangae ikaishia juu juu!! Hakuna atakayewajibika, itaundwa tume halafu file closed!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom