Nani angependa kutoka na mimi siku ya valentine?

kwa iyo ww cku zoote hutoki, unasubiria siku ya VD...sasa uzoefu unao kaka?ww unataka ujifunze kutoka siku ya valentine!!!
acha kuchekesha ww...if going out is not ua sytle, achana nayo,..utaabika bureee....matokeo yake utataka uvae shati jekunduuuuu maana uzoefu huna...
how old are you?u sound immature!!
 
umeona lililo jema hasa.......kabla siku mbili na tunaongeza siku mbili mbele baada ya valentina........
Tukiongeza na siku tatu za birthday, kaujauzito katakua hakajakamata?

Huyu si anataka watu wenye GX 100...mimi nina Semi Trailer..
Hehehhe... kulaaaleki.... mtoto akipanda kwenye scania anatenguka kiuno.... achana naye kamata guberi zoefu..... King'asti!
 
Valentine ndio hiyoooo inakaribia lakini mpaka sasa sijajua nitatoka na nani. Mpenzi wangu wangu ambaye nilitegemea ndio nitatoka naye tumeshaachana kwa sababu yeye alinitenda. Sio siri wana JF tokea nizaliwe mpaka sasa na midevu yote hii sijawahi kusherehekea sikukuu ya Valentine's Day na wala sijui utamu wake. Natamani nimpate my valentine ambaye atanifundisha na kunionyesha nini maana ya valentine's Day. Will you be my valentine?

Tena usituchanganye, si uliaga unakwenda chuo
na ada 40% nikakulipia, sasa unafanya nini humu mtandaoni tena wewe mtoto,
wahi nenda shule 'education has no end' unasikia eeh,
 
Back
Top Bottom