Nani angependa kutoka na mimi siku ya valentine?

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Valentine ndio hiyoooo inakaribia lakini mpaka sasa sijajua nitatoka na nani. Mpenzi wangu wangu ambaye nilitegemea ndio nitatoka naye tumeshaachana kwa sababu yeye alinitenda. Sio siri wana JF tokea nizaliwe mpaka sasa na midevu yote hii sijawahi kusherehekea sikukuu ya Valentine's Day na wala sijui utamu wake. Natamani nimpate my valentine ambaye atanifundisha na kunionyesha nini maana ya valentine's Day. Will you be my valentine?
 
mi nakushauri ubaki hivyo hivyo......
 
Preta umefanya la maana sana kumshauri
Aendelee kumwamini Mungu wake na valentine sio lazima mpenzi hata wazazi wako waonyeshe upendo wa hali ya juu siku hiyo
Tatizo tumeichukulia Valentine kama siku ya kutoka na wapenzi wetu au kwenda out tuu na wapenzi wakati hata mwanzilishi wa siku hiyo hakumaanisha hayo
Onyesha upendo wako kwa wale unaowapenda na kuwajali na sio lazima awe mpenzi wako
 
Njoo utatoka na mimi. Itakuwa siku ya Jumanne. Jioni tutaenda kanisani kuna semina ya Neno la Mungu inaendelea kule. Tukitoka tutaenda popote utakapopenda kwa diner na kubadilishana mawazo, , then tutatawanyika. Uko tayari?
 
Hii safi sana
hata mimi ningependa sana kujiunga na wewe
ni jambo la maan asana kufanya haya
 
Kumbe ndo maana uliweka picha yako ili uuze kwa ajili ya VD? Na ulivyokuwa unaonekana kwenye picha nadhani utakuwa unatafuta mtu wa kukukamerunize siku hiyo ya VD.
 
Back
Top Bottom