Nani angependa kutoka na mimi siku ya valentine?

Umemkimbizia wapi? au ndio mbinu yako ya kutaka kumiliki vidosho wote wa humu ndani peke yako?
Fello tablet ameathirika na migomo ya madaktari. Tangu alipokoswa kuchomwa moto akidhaniwa kibaka kumbe alikuwa akipiga chabo kwenye chumba cha kongosho bado hajapatiwa tiba..... Kongosho angeniulia fellow tablet na ngozo zake za mchana! khaa!
 
Valentine ndio hiyoooo inakaribia lakini mpaka sasa sijajua nitatoka na nani. Mpenzi wangu wangu ambaye nilitegemea ndio nitatoka naye tumeshaachana kwa sababu yeye alinitenda. Sio siri wana JF tokea nizaliwe mpaka sasa na midevu yote hii sijawahi kusherehekea sikukuu ya Valentine's Day na wala sijui utamu wake. Natamani nimpate my valentine ambaye atanifundisha na kunionyesha nini maana ya valentine's Day. Will you be my valentine?

Kwani mimi nimesema natafuta mpenzi? Mimi natafuta mtu wa kutoka naye siku ya valentine na wala sio mpenzi

Mbona Statement zako zinajichanganya mkuu
 
Kumbe ndo maana ulibandika picha yako...
duh!

Dhumuni la kuweka picha yangu hapo ni ili mnifahamu ili nikiondoka kwenda masomoni nikirudi tusije tukapigana vikumbo barabarani na kusema simfahamu mtu huyu
 
Fello tablet ameathirika na migomo ya madaktari. Tangu alipokoswa kuchomwa moto akidhaniwa kibaka kumbe alikuwa akipiga chabo kwenye chumba cha kongosho bado hajapatiwa tiba..... Kongosho angeniulia fellow tablet na ngozo zake za mchana! khaa!

yaani kila nikiona mwandiko wako najisikia kutoka na wewe siku ya Valentino........sijui utakubaliii.....?
 
yaani kila nikiona mwandiko wako najisikia kutoka na wewe siku ya Valentino........sijui utakubaliii.....?
Na kwa akili zako kama za Blandina Nyoni unategemea ntakataa? Mi naona tutoke siku mbili kabla!
 
Na kwa akili zako kama za Blandina Nyoni unategemea ntakataa? Mi naona tutoke siku mbili kabla!

umeona lililo jema hasa.......kabla siku mbili na tunaongeza siku mbili mbele baada ya valentina........
 
Back
Top Bottom