Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Ai jamani Husninyo, nilikuwa nachukua Kisetifiketi cha Tourism & Tour Guiding pale...
we raia me ckusomi kabisa,mara uko udom mara udsm?
Ai jamani Husninyo, nilikuwa nachukua Kisetifiketi cha Tourism & Tour Guiding pale...
Hayo ndo maisha ya kimjini-mjini.
Kwa hisani ya Riz1...
Why ile siku ulizingua mwana? Nilikuambia uje block G ukanichomesha mahindi!
Kwanini hamkuhoji hapo hapo?. Yeye kuw Prof hakukuzuii wewe kuuliza yale unayohisi ni haki yako kuyajua.
jibu swali usiulize swali kijanaaaaa!unasoma mwaka wa ngapi wewe
mwaka wa 2.
Inasikitisha sana kama huyu ni mwanafunzi wa chuo kikuu tena wa mwaka wa pili, eheeh mungu ibariki Tanzania, hivi mtu kama huyu kweli tutamuhita msomi au muhitimu?State University ya Tanganyika i.e UDSM. Prof Kihore ni mwalimu wa Kiswahili hapa...
Huo utaratibu sidhani kama upo katika chuo hiki, ni mgeni kabisa. And much painful ni kuwa cameraman alikuwa mzungu...
Inasikitisha sana kama huyu ni mwanafunzi wa chuo kikuu tena wa mwaka wa pili, eheeh mungu ibariki Tanzania, hivi mtu kama huyu kweli tutamuhita msomi au muhitimu?
Sasa nimeshapata jibu ni kwa nini wazungu sasa hivi hawazingatii vyeti wakati wa kutoa ajila bali wanazingatia zaidi interview ya kuandika na kuongea.
Naona huu utaratibu umekuwa sugu hapa State University, leo Prof. Kihore anafanya muhadhara hapa Yombo 5, amekuja na mzungu wake, anafanya video shooting. Napata mkanganyiko kidogo, Profesa hajaomba ridhaa yetu ili apige picha., na mchakato unaendelea pasi na wasi.
Naombeni mwongozo wenu wadau...
Ai jamani Husninyo, nilikuwa nachukua Kisetifiketi cha Tourism & Tour Guiding pale...
why?:welcome:
Nimepumzika kidogo nifanye majukumu flani flani...
mbona mnaleta mambo ya Facebook na twitter kwny jamiiforumz tena jukwaa la elimu. hamsomi mko jukwaa gani nn?? alaaaaa.....utaniruhusu niweze kuwasiliana nawe kwa ximu?
Miafrika ndivyo ilivyo..by NN