Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,722
- 45,129
Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
Kuna takwimu zozote mkuu juu ya Mangalo ambazo zimekufanya umpe uchezaji bora ?Kwa uhalisia mchezaji Bora ni Abdulmajid Mangalo lakini kwa ushabiki wa Simba apewe chama tu
Namkubali sana huyo mwambaKwa uhalisia mchezaji Bora ni Abdulmajid Mangalo lakini kwa ushabiki wa Simba apewe chama tu
Mkuu any statistics tafadhali (kwa ambao hatukumfuatilia sana)Namkubali sana huyo mwamba
Mimi sijampendekeza awe mchezaji bora wa msimu ila namkubali sana anavyochezaMkuu any statistics tafadhali (kwa ambao hatukumfuatilia sana)
Labda utafute kwa wakati wako mkuu maana ligi yetu haina vyanzo muhimu vya takwimuMkuu any statistics tafadhali (kwa ambao hatukumfuatilia sana)
Takwimu zake plz,kama ni kiba ana saves na clean sheet ngapi,kama ni beki ana tacking ngapi, aerial dual ngapi na clearance ngapi,kama ni kiungo ana assist ngapi na key pass ngapi,kama ni straiker ana goli ngapi.Twende sawa.Kwa uhalisia mchezaji Bora ni Abdulmajid Mangalo lakini kwa ushabiki wa Simba apewe chama tu
Uchezaji bora huenda sambamba na mafanikio ya timu pia takwimu.Kwa uhalisia mchezaji Bora ni Abdulmajid Mangalo lakini kwa ushabiki wa Simba apewe chama tu
Unsung heroJohn Bocco
🙌🏻🙌🏻🙌🏻No doubt!.
Chama anastahili.
Ila mimi ni Mshabiki Mkubwa sana wa Miquessone kuliko mchezaji yeyote Bongo. Ila kwa kuwa mpira unaangalia statistics zaidi basi apewe CCC.
Lakini spirit ya Mmakonde ni level nyingine.