Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
14,211
13,726
Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu.

Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia nyumbani tafadhali anipe namba ya simu yake.
 
E12919AD-2249-469B-A91D-A61D159E7D8B.jpeg
E12919AD-2249-469B-A91D-A61D159E7D8B.jpeg
Td27 na Qd32 gearbox za Nissan zikikaguliwa kabla ya kufungwa.
 
Si utani mkuu,namba yake sina nacheki kwenye simu siioni. Kesho asubuhi nitakuombea ni mtu mzima anafanya kazi vizuri sana.

Kwanza atafungua na kukagua meno ndio aendelee kuifunga.

Anaweza kuja kunifungia nyumbani kwangu? mtu mzima ndio ninaemuhitaji hawa vijana wa siku hizi tamaa sana halafu wezi!!
 
Back
Top Bottom