Natafuta fundi wa Mitsubishi Outlander Dar es Salaam

Wana jamvi nauliza garage au fundi mzuri wa Mitsubishi Outlander Dar es Salaam
Kuna jamaa anaitwa Master magari mcheck insta yuko Sinza pale nishawahi peleka gari yangu japo ni aina nyingine ila yuko vizuri kwenye hizi Outlander na Subaru nazikutaga zakutosha.
 
Kuna jamaa anaitwa Master magari mcheck insta yuko Sinza pale nishawahi peleka gari yangu japo ni aina nyingine ila yuko vizuri kwenye hizi Outlander na Subaru nazikutaga zakutosha.
Sawa, asante sana.
 
Kama uko dar nenda kwa master magari
Kuna group la whatsapp akuadd pia utajifunza
Linaitwa AutoClub wapo watu wengi +mafundi
Akina Dr,Mechanics pia wamo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom