only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
Ule mswada wa kununua mali chakavu umeanza kutekelezwa.
Huyu Palamagamba ni mwanasheria mwenye mawazo chakavu yanayofaa kutumiwa sasa na serikari kwa kufanya mambo ya dharura kama kufunika haki ya watanzania kujadili katiba na kuamua yale wanayodhani yanachangia kuleta hali mbaya ya nchi.
Usomi wa majina ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa elimu. Huyu Palamagamba na Benson wanafaa kwa kughani mashairi tu.
Kuna jamaa yangu mmoja anasema yeye hamuogopi Profesa wala Dr na ana degree moja..ukimuuliza kwanini anasema elimu sio title bali kusaidia kuleta positive change...haya ya akina Pala-MAGAMBA na akina BANA ni dalili tosha kuonyesha elimu sio title.........ni bora wamachinga waliopambana na polisi last week kuliko huyu Kabudi anayezuia mabadiliko kwa kuwanywesha watanzania sumu mbaya ya kukubaliana na CCM aka Pala-MAGAMBA.............