Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu?

Celine Dion

Whitney Houston ( Rip)

Mariah Carey

Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda.

Love doesn't ask why

A new day has come

Tiririka hapa ni nani ulikuwa unamkubali Kati ya hawa wakali watatu.
 
Celine Dion

1, That's The Way It Is
2, My Heart Will Go On
3, Eyes On Me
4, Goodbyes
5, Am Alive

Hizi song jaman aliimba huyu mama uwiiiiih,
Yaan ni .

Nazipenda mno hizi songs mda wote nausikiliza lol.
 
Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu?

Celine Dion

Whitney Houston ( Rip)

Mariah Carey

Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda.

Love doesn't ask why

A new day has come

Tiririka hapa ni nani ulikuwa unamkubali Kati ya hawa wakali watatu.
Mimi Celine Dion, hapo pia namwongeza Shania Twain maana wote ni wacanada na ni shida tupu.

Favorite song ya Celine Dion ni all coming back to me na la Shania Twain ni forever and always.

Kuna mwanadada naitwa Enya, aisee ni balaa lingine kwakweli
 
Mariah Carey & Whitney Houston hawa wote nawakubali sana.

Celine Dion ni mkali ila kwa mimi binafsi hajawafikia hao wawili.
 
Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu?

Celine Dion

Whitney Houston ( Rip)

Mariah Carey

Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda.

Love doesn't ask why

A new day has come

Tiririka hapa ni nani ulikuwa unamkubali Kati ya hawa wakali watatu.
Whitney Houston alikuwa kiboko. Alikua na vocal yule mama, daaa
 
Tony Braxton huwa namuelewa sana japo hayupo kwenye list.

Celine Dion inasemekana ni mkali sana ila sijawahi kumuelewa. Wimbo wake pekee ninaoweza kuusikiliza hadi mwisho ni My heart will go on basi.
 
If tomorrow is judgment day
And I'm standing on the front line
And the Lord asks me what I did with my life
I will say I spent it with you
If I wake up in World War III
I see destruction and poverty
And I feel like I want to go home
It's okay if you're coming with me
'Cause your love is my love
And my love is your love
It would take an eternity to break us
And the chains of Amistad couldn't hold us

Whitney houston ni habari nyingine.
 
I believe the children are our future
Teach them well and let them lead the way
Show them all the beauty they possess inside
Give them a sense of pride to make it easier
Let the children's laughter remind us how we used to be

I decided long ago, never to walk in anyone's shadows
If I fail, if I succeed
At least I'll live as I believe
No matter what they take from me
They can't take away my dignity.

Continue to Rest Easy Whitney
 
Celine Dion anajitahidi...

Ila Mariah carey nae yupo vizuri kwenye sauti ya whistle...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom