cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,796
nakupenda hubby wangu ndio maana najikorogea juice ya omo bila mshirika! mbona sikusomi sasa mtaa wa pili, kwanza nakuPM nijibu ss hivi,m ole wako uchelewe,hupati pango lako leo!Khaa! Wife mkali lol. Sasa bestee Maumba si alikuwa ana uchu wa kulambamo wanaume vinyeoni. Huoni umenitusi?