NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,354
Wakulu wasalaam,

kama mnavyojua kesho ni sikukuu yetu wakulima. Nyie wafanyakazi kesho eti mtapumzika wakati sie tutaenda shambani kulima kama kawaida......... Very unfair.

Kama mjuavyo vijana wengi hamjishughulishi kwa kilimo. Sie wazee tunaoshika jembe tumeamua kesho tuungane na nyie.... hakuna kufanya kazi. Na tumedhamiria kutoka bomba kujumuika nanyi kaunta kusheherekea siku yetu.

Kama kawa tushakamata viwalo vya kutokea.... Eti mwaweza niambia nani ametoka bomba zaidi??

Je ni Bishanga??

attachment.php

Au Mzee mwenzangu Dark City?

attachment.php

Yawezekana akawa mzee kijana Kaizer?

attachment.php

Au ni mimi mwenyewe ODM mwenye wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho??

attachment.php

Shindano hili linadhaminiwa na kiongozi BAGAH ambaye amenambia mshindi atazawadiwa kreti moja la bia na kulipiwa ruum gesti ili ajivinjari na mmojawapo kati ya mabinti wafuatao ambao wamesharidhia watatoa burudani bila kinga: charminglady, Cantalisia, princess enny, ummu kulthum, sweetlady na Catherine.

Msimamizi wa uchaguzi ni Erickb52 akisaidiwa na KARIA.

Karibuni mnipigie kura.

(JAMANI NAOMBENI KURA ZENU)
 
Last edited by a moderator:
aaaaaaaaaaaaah babuuuu!!umependeza sana kasoro hujashave ndevu tu,af bila kidhibiti mwendo hakitoki kitu babaangu we.kama huna ninazo kwa pochi...........
 
Babu The Finest Yuko wapi???
Au list ya "counter ya juu" imekatwa
Pamoja na mkuu Teamo..

Anyhow , you have my vote :)
Wale siyo wazee, hii sredi haiwahusu... Kura ya kwanza hiyo. Senkyu!

aaaaaaaaaaaaah babuuuu!!umependeza sana kasoro hujashave ndevu tu,af bila kidhibiti mwendo hakitoki kitu babaangu we.kama huna ninazo kwa pochi...........
Kura ya pili hii.... senkyu

nimekuvotia hubby wangu, then Kaizer shem wangu wa ukwee naye nimemvotia, lolest!
Kura ya tatu... huruhusiwi kuvotia mtu zaidi ya mmoja. Hii ingeweza kuhesabiwa kama imeharibika lakini kwa kuwa weye ni mai waifu hii inaangukia kwangu. Ya tatu!! Senkyuuu!!
 
huu mchakato umekaa ki wiziwizi na vielelezo ninavyo nasubiri wakuu wa uchanguzi erick52 na KARIA watie timu niwakilishe malalamiko yangu. af da K ulipateje kazi ya usimamizi kama huja ....................... na.......................?
 
Last edited by a moderator:
huu mchakato umekaa ki wiziwizi na vielelezo ninavyo nasubiri wakuu wa uchanguzi erick52 na KARIA watie timu niwakilishe malalamiko yangu. af da K ulipateje kazi ya usimamizi kama huja ....................... na.......................?
ummu kulthum upo best?? hubby Asprin hebu mpe cheo ummu kulthum usafishe nyotaye kwanza, alitembea na vizuruda wakampaka nuksi au we ndio DaJane?
 
Last edited by a moderator:
huu mchakato umekaa ki wiziwizi na vielelezo ninavyo nasubiri wakuu wa uchanguzi erick52 na KARIA watie timu niwakilishe malalamiko yangu. af da K ulipateje kazi ya usimamizi kama huja ....................... na.......................?
Tatizo Erickb52 kalowea kwa vimwana. Mpaka amalizane na Preta na Blaki Womani ndo atatia timu hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom