NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Cantalisia naomba uache umbea utaja sutwa kama Bishanga ohoooo........tena usikubali kabisa kuingizwa kwenye maswala haya mazito ya mapenzi. Niache na ndoana zangu....lol
Mweeee mweeeee mweeeee!
My dia Yummy mie hapa nilitaka tu kuujua ukweli maana hawa wanaume waili naona wanatunishiana misuli hapa nikaona isiwe tabu ni bora mwenye mali ajulikane na kidumu ajulikane lol!

BTW kwa vile ushasem ni ndoano zako kiutu uzima nishaelewa,hahaha hahhah!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahah......JF bwana??

Ahsante sana mzee mwenzangu ingawa umeweka uzi mzuri na baadaye kuufanya uwanja wa kufanyia mazoezi ya kuongea wajukuu!!

Babu DC!!
 
oa kila nikupeamo pango lako ujifiche we oa tu! lol, kwani na wewe ni ROBERT MBOYA?? KHAAAAAA! ukipata picha ya robert tuwekee hapa, najua album yako ina mafoto ya kufa mtu, khaaaaaa!
Wife cacico bana, inamaana Robert Mboya hujawahi kumwona? Haya huyu hapa. waite na wake wenzio BADILI TABIA na Yummy chini ya usimamizi wa Kongosho waje wamwone wasijeingia mkenge.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Dah hivi nilikuwa wapi hii sredi sikuiona,anyways kwa wakazi wa mkoa wa lindi karibuni kijijini kwetu nanchunchukire tupate msosi wa ugali wa mhogo,mbaazi na nyamapori ( ujue tuko karibu na Selous,tunajiwindia kwa raha zetu,hakuna cha game wala nini).
Ila kiukweli kwenye picha nimetoka bomba sana,hakuna cha disi wala aspro.
 
Back
Top Bottom