NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Khaa! Wife mkali lol. Sasa bestee Maumba si alikuwa ana uchu wa kulambamo wanaume vinyeoni. Huoni umenitusi?
nakupenda hubby wangu ndio maana najikorogea juice ya omo bila mshirika! mbona sikusomi sasa mtaa wa pili, kwanza nakuPM nijibu ss hivi,m ole wako uchelewe,hupati pango lako leo!
 
hapo chacha, haaaaah! hivi nikumbushe tena hapa chai zetu twanyea wapi tena? na je our next outing ni wapi tena? hakyanani nataman kama kesho irukwe iamkie ijumaa lol! can't wait for that my dearest.

hivi hata wewe msiri wangu?? lol! hope utanifichia siri kwa Kaizer ma swtlo. si wajua jaman huyu n shem.

We mkuwadie my wife tu. Ntakuja shusha mtu mshipa huko sijui mamserena kwenu. Afu cacico be careful.... Am watching closely.
 
Last edited by a moderator:
We mkuwadie my wife tu. Ntakuja shusha mtu mshipa huko sijui mamserena kwenu. Afu cacico be careful.... Am watching closely.

khaaaa! hivi unasahau kwamba wewe moja n shemeji ila pia ni mzazi mwenzangu? why shld i do that for you?

ngoja tuendeee kupeana darasa la jinsi ya kukuza vidume na vijike vyetu ili vije viwe vi wapenzi bora.
 
Mabinti zangu nshawapeleka misheni wawe watawa wa nadhiri ya maisha. Wataolewa na Yesu.
 
We mkuwadie my wife tu. Ntakuja shusha mtu mshipa huko sijui mamserena kwenu. Afu cacico be careful.... Am watching closely.
baby wangu hakunaga kama wewe, na unalitambua hilo! nakupenda na mwenyewe unajua, hata wake wenzangu wanajua mke mdogo kwa kudeka ndiye mwenyewe, so bby wangu kuwa na amani huyo gfsonwin hata aje na vasco, HAWANIPATI NG'O!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom