namtafuta mmu member awe mume wangu

Duh!! BAHATI kwangu! Sifa zote mm ninazo na nyingine 1 ya ziada, yaani "issue" yangu ni sem-treiller!! Hapo vp?? Alafu Bebii ile njia yako uliotumia mwanzoni ya vacancy application haikufanikiwa nini ndo umeamua leo kuja mzima-mzima!!??
 
Hapo kwenye Red ndiyo nimegundua kuwa UNAFANYA MZAHA KUJUMLISHA NA UTANI !!!!
kipi cha ajabu mkuu, mbona wanaume wengi wanaolewa au kuoa? ila no 10 naona huna maksi
 
Ahhhh sina hata moja hapo so siqualify
maana sura kama nimelipukiwa na baruti za beghazi, sina mvuto, sijiamini, navuta sigara pakti nane kwa siku, nakunywa crate tatu za bia tena the kick, sijabatizwa wala sijui kanisa lina sura gani, sijui nilizaliwa lini maana ahhh huko nilikozaliwa nakujua mwenyewe, mbumbumbu wa haja maana hata tv wala redio huwa sisikilizi so ni out dated ahhhh najiondoa hapo

hahahahahahaha mkuu umenikwatua mbavu zangu,ila ungemalizia tu kuwa wewe ni bingwa wa kulilia mapenzi.
 
mmmmmmmmmh kazi hapo?
 
Jamani bebii anamtafuta mmu awe muwe wake, kuna mtu humu anaitwa mmu!!
 
hahahahahahaha mkuu umenikwatua mbavu zangu,ila ungemalizia tu kuwa wewe ni bingwa wa kulilia mapenzi.

Yaani mkuu unaongezea kabisa sijui perfume wala ndugu zake na perfume
harufu kama ya beberu
na kuoga mpaka kuwe na sikukuuu
 
daaah hata uraia wako huujui mkuu nikusaidieje sasa?

Sasa kama nilizaliwa kichakani sijui kwenye mpaka wa tanzania na kenya wakati mama akiwakimbia askari sijui wa nchi gani sasa nisemeje au uraia wangu ni wa wapi maana sijui kile kichaka kipo kenya au tanzania
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa

Umesahau kitu muhimu kuliko yote hapo juu, AWEZE KUKUPATIA CHAKULA CHA KUTOSHA CHA NDOA
 
Unajua nilikuwa najiuliza kwanini uliamua kuniacha, naw i know why na kama ndio hivi natangaza rasmi nabwaga manyanga chini...........pwaaaaa
 
Back
Top Bottom