namtafuta mmu member awe mume wangu

tangu ilipoletwa ile thread ya ya miiko na sheria za nyumba ndogo
ikafuatwa na ile ya sheria ya kina mama/dada walioolewa kama wanataka kucheat
badae ikafutwa na ile nyingine ''binti afanye nini kama anataka kumkubali kijana''

tokea hapo kumekuwa na wimbi la thread yaani basi tu.....sasa wengine wanasahau hata wwalichowahi kusema hapa siku za nyuma...anyway siku hizi il mradi thread ipate wachangiaji wengiiii na ifike page kumi na zaidi hapo mleta thread anafurahi kweli......
huo ni ushamba wewe kama hutaki sikulazimishi
 
hamna mwanangu hii ngoma unang'oa tu, warembo wanapenda magengsta hahahahaha unakumbuka hzo za kizamani skuli lol...
Kama vp msaidie kutafuta hata maboss wako labda watamfaa sharti wawepo hapa jamvini

Sasa mkuu haya mambo ya sijui kujiamini na kuw ana upeo w amambo wapi na wapi
Mi na tv ni paka na panya kwanza sina hata nyumbani so ueklewa wa mambo ni mdogo sana
halafu sijui niwe na msimamo mimi huwa nabadilika kulingana na upepo ukija wa kaskazi naenda nao ukija w akusi naenda nao
mambo ya sura waachie akina Kanumba na Ray bana sie wengine sura zetu tunazijua wenyewe
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza(a)sifa za nimtakae1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate3mtanzania- weka passport4 awe hiv negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena5 awe na maisha yanayoeleweka loh6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe7 awe anajiamini8awe mpenzi wa simba na arsenal 9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo11 awe na mvuto loh? Sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe13 nitaendelea kesho(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
usingetumia muda mrefu hivyo kuchagua..very sorry umechelewa kidogo pretta kashanichukua! Pole
 
swali kwa Bebii
kwa nini lazima awe member wa MMU??????/
ndio bwana kwa sababu mwenza unatakiwa upate katika mazingira unayoishi either kanisani ,kazini au mtaani nk
kanisani nimekosa
kazini sipendi mtu naefanya nae
mtaani nimekosa eneo nililobakisha ni humu tu ndo maana nikaja hapa boss
 
ndio bwana kwa sababu mwenza unatakiwa upate katika mazingira unayoishi either kanisani ,kazini au mtaani nk
kanisani nimekosa
kazini sipendi mtu naefanya nae
mtaani nimekosa eneo nililobakisha ni humu tu ndo maana nikaja hapa boss

ukimpata wa humu mkigombana
tutapata threads za kutosha nahisi lol
 
Back
Top Bottom