namtafuta mmu member awe mume wangu

Yaani mkuu unaongezea kabisa sijui perfume wala ndugu zake na perfume
harufu kama ya beberu
na kuoga mpaka kuwe na sikukuuu

nazielewa chobingo zako pale stand, tena mida hii wala shati ujavaa jasho linakutiririka na jua hli, upo mbio na mkokoteni. Sasa utawezea wapi mambo ya mahug n' kisses, hebu tuachie vijana wabichi sie hahahahaha
 
Ahhhh sina hata moja hapo so siqualify
maana sura kama nimelipukiwa na baruti za beghazi, sina mvuto, sijiamini, navuta sigara pakti nane kwa siku, nakunywa crate tatu za bia tena the kick, sijabatizwa wala sijui kanisa lina sura gani, sijui nilizaliwa lini maana ahhh huko nilikozaliwa nakujua mwenyewe, mbumbumbu wa haja maana hata tv wala redio huwa sisikilizi so ni out dated ahhhh najiondoa hapo

mrembo kaweka masharti magumu kuliko yale ya Kwenda Mbinguni.
 
nazielewa chobingo zako pale stand, tena mida hii wala shati ujavaa jasho linakutiririka na jua hli, upo mbio na mkokoteni. Sasa utawezea wapi mambo ya mahug n' kisses, hebu tuachie vijana wabichi sie hahahahaha

Sasa pale na mijasho yangu nikamkiss na hug si itakuwa balaa
najiondoa mapema kabisa hapo
 
Sasa pale na mijasho yangu nikamkiss na hug si itakuwa balaa
najiondoa mapema kabisa hapo

hamna mwanangu hii ngoma unang'oa tu, warembo wanapenda magengsta hahahahaha unakumbuka hzo za kizamani skuli lol...
Kama vp msaidie kutafuta hata maboss wako labda watamfaa sharti wawepo hapa jamvini
 
Hizo thifa mie ninatho,ila na wewe uweujawai kumvulia mvulana chupi na kukuona nani
 
Mi mshabiki mnazi wa arsenal na simba then nafaa..nimepima cheti kipo..nina mvuto usinipimie...tatizo hapo hakuna.
 
tangu ilipoletwa ile thread ya ya miiko na sheria za nyumba ndogo
ikafuatwa na ile ya sheria ya kina mama/dada walioolewa kama wanataka kucheat
badae ikafutwa na ile nyingine ''binti afanye nini kama anataka kumkubali kijana''

tokea hapo kumekuwa na wimbi la thread yaani basi tu.....sasa wengine wanasahau hata wwalichowahi kusema hapa siku za nyuma...anyway siku hizi il mradi thread ipate wachangiaji wengiiii na ifike page kumi na zaidi hapo mleta thread anafurahi kweli......
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal


9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
1.Mimi ni mpagani-so disqualified
2.Maisha yangu nayaelewa mwenyewe.
3.Ni na pombe ni damu damu
4.Point hapo kwenye kujiamini...hapo zangu zote
5.Mimi na mpira wapi na wapi.
6.Nimewaacha wengi kama nami nilivyoacha kibao
7.Umri wangu ni kati ya 54-56 yrs
8.Ofcoz ninaulewa mpana wa mambo...contemporary issues
9.Sura yangu ya kokoto..ni kama ya masoud sura mbaya
10.Upendo,huruma,ukweli,utu wema ni vitu nilivyorithi kutoka kwa dingi,...ila sina moyo wa kusamehe hasa nikugundua ume cheat.

Naomba unifikirie kwa sifa hizi,..nakupenda bebii,..anyway ntarudi ngoja nibrash viatu vya wateja hapa.
 
Back
Top Bottom