Namtafuta Fransiscar John

avatar13443_6.gif


Umenichekesha sana nafahamu movie yake inaitwa Umofia in London huyu jamaa ni mcheshi mtata sana


Ni Osuofia in London mkuu, inachekesha sana. Jamaa ni komedian mzuri sn, ana movie nyingine inaitwa "A fool at Forty", ni zaidi ya hiyo tajwa.
 
Mungu akusaidie umpate lakini je atajua wewe ni nani? je anajua hili jina DOMHOME? isije ikawa labda unamdai.....
 
Back
Top Bottom