Namsikitikia, He was my boyfriend

mlikuwa na ndoa? Shule gani hiyo inaruhusu mahusiano ya kimapenzi hadharani hivyo mpka mtangaziane kuachana?... Mi napata shida kuamini hii story ya Nazjaz!..
 
Yaani umepata Div One form 6, eti saa hizi uwe mpiga debe???? Napata kazi kuamini hii??
Tena kwa kombination ya PCB ambayo ina watu wachache balaa wanaoenda mchepuo huo??
Yaani kapata
  • Physics - A
  • Chemistry - A
  • Biology - B
Eti leo miga debe????
Hivi unajua kwa cheti cha Six cha kutisha namna hiyo unapata kazi ya maana kabisa ya kulipwa hela nzuri kabisaa, na tena ukiwa mjanja zaidi unapewa hadi scholarship kiulaini ya kwenda kusoma n'gambo kiurainiiiiii???
Kudadadadadadadadadadeki . . . . . .
Kwani Uteja ni hautibiki . . .
Kama kweli unayosema hayo we Nazjaz, nipe Jina lake kamili, picha yake ilete hapa then mi nitafanya mpango wa kumuendeleza.
Am serious, weka hizo identity zake hapa au ni PM.

Sasa ndugu yangu unashangaa nini..uteja ni kama UKIMWI haubagui...nini form six point 4 ? kuna hadi maprofessa wameangukia kwenye uteja...na wasomi wa degree wengi tu....???? maisha ni saafari ndefu.....mwenzako akianguka msaidie ainuke.....ila kwa ishu ya kumuinua teja ni kazi na mzigo mzito sana!!!
 
mlikuwa na ndoa? Shule gani hiyo inaruhusu mahusiano ya kimapenzi hadharani hivyo mpka mtangaziane kuachana?... Mi napata shida kuamini hii story ya Nazjaz!..
halafu watu wote anakutana nao posta kama umenote!! ila huwezi jua nahisi hii ya ukweli
 
Kwanza pole kwa hilo, kumsaidia si lazima uende wewe mwenyewe, kwanza inaweza ikakucost in your life coz hujui ameathirika vipi na hayo madawa, tafuta mtu muelewa mueleze kwa makini kisha muombe yeye amsaidie kwa niaba yako bila kumuambia ametumwa na wewe, na make sure huyo mtu anaweza ku deal na mateja. Pia hakikisha asimuambie wewe unafanya kazi wapi na wala unakaa wapi isije ikawa issue kwa husband kama umeolewa au familia kwa ujumla. Wewe utoe msaada kwa huyo utayemuomba mfano hela na mahitaji mengineyo na lengo lako liwe kumsaida ili aondokane na hali hiyo na si kurudiana kama wapenzi. Utakuwa umefanya kwa Mungu na si mwanadamu na Mungu atakubariki kwa kuwasaidia wengine. Mungu akusaidie
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.
Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.
Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.
Form six tulipo ingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao.
Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.
Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.
Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi
. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.
Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.
Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Hivi Nazjaz haya ni ya ukweli au ume-create story hapa? Mwanafunzi hata akiwa head prefect, hana mamlaka ya hivyo aise, inamaana shule nzima hata waalim walikuwa wamehalalisha uhusianao wenu? hiyo ilikuwa ndoa shuleni au?

Na ninavyofahamu mimi, ukiwa head prefect ( mimi nilikuwa head prefect pia naelewa) unapotoa matangazo mstarini mwalim wa zamu anakuwepo mstarini. Na siku zote kiongozi unatakiwa kuwa mfano, na hakuna shule inayoruhusu mapenzi shuleni, hiyo ya kwenu itakuwa ya kwanza kwa tz hii!!!!!!!

Hata kama mwalim wa zamu hayupo huwezi in anyhow kutangaza upuuzi huo mstarini. ndo najiuliza hii story ni ya kupika au? Any way pokea ushauri kisha tuletee matokeo ikiwezekana mtaje jina huyo kaka na picha yake iewe jamvini ili waungwana wamsaide.
 
Napita tu, maana Nazjaz thread zake zimejaa utata mtupu

Haya tena makubwa..............mimi nilikuwa head prefect primary school-1995,head prefect o-level 1999,head prefect A-level,2002 na rais wa chuo kikuu...................................kwa tabia za ma hp?? hii story ina utata...........................labda shule yao ilikuwa kinyume na majina ya watakatifu..............
 
Hivi Nazjaz haya ni ya ukweli au ume-create story hapa? Mwanafunzi hata akiwa head prefect, hana mamlaka ya hivyo aise, inamaana shule nzima hata waalim walikuwa wamehalalisha uhusianao wenu? hiyo ilikuwa ndoa shuleni au? Na ninavyofahamu mimi, ukiwa head prefect ( mimi nilikuwa head prefect pia naelewa) unapotoa matangazo mstarini mwalim wa zamu anakuwepo mstarini. Na siku zote kiongozi unatakiwa kuwa mfano, na hakuna shule inayoruhusu mapenzi shuleni, hiyo ya kwenu itakuwa ya kwanza kwa tz hii!!!!!!! Hata kama mwalim wa zamu hayupo huwezi in anyhow kutangaza upuuzi huo mstarini. ndo najiuliza hii story ni ya kupika au? Any way pokea ushauri kisha tuletee matokeo ikiwezekana mtaje jina huyo kaka na picha yake iewe jamvini ili waungwana wamsaide.
na mimi nlikuwa kiranja mkuu kuanzia primary na sekondary school, mengi tumeyaona kulingana na shule tulizosoma. Nikiwa kiranja nimesha wahi kukabidhiwa cheo cha mwalimu msaidizi wa nidhamu.
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Kwenye blue hapo Shule gani inayoruhu upuuzi na ujinga kama huo? We Muongo tena koma kudanganya zaidi ya watu elfu 20
Kwenye red hapo dada hakuna, kibaka anayekaa jela zaidi ya miezi 3,vibaka wangapi kitaa anakwapua leo kesho asubuhi yupo nje hii ni FIX
 
Haya tena makubwa..............mimi nilikuwa head prefect primary school-1995,head prefect o-level 1999,head prefect A-level,2002 na rais wa chuo kikuu...................................kwa tabia za ma hp?? hii story ina utata...........................labda shule yao ilikuwa kinyume na majina ya watakatifu..............

Muongo huyu
 
Duh kwa kweli pole sana
Ila kuna kitu kimeniingia juu ya hii story........... hivi wattoto wetu wanapokuwa shule wanaelewa wako pale kwa sababu gani? Najaribu kuwaza mtu aliyekuwa na akili kiasi cha kupata Div 1.4 form six anashindwaje kutambua kuwa kuiba kunawezamharibia future yake (kama alikuwa anaitambua??)

Pole sana........kama bado una mapenzi ya kweli juu yake angalia namna ya kumsaidia......atakuwa amejifunza !

Ushauri mwingine hapa ni wa kinafiki tu yaani unaona rahisi kwa sababu Mkuki kwa Nguruwe...... kwani ingekuwa wewe ungekaa mbali. Mwanajamii One be realistic kwani suppose mtoa mada ni mke wa mtu kwa sasa au ana mpenzi mwigine ni maelezo atamweleza huyo muke wake au mpenzi wake ku-justfy kumsaidia teja. Tuwe wakweli 'wema usizidi uwezo tusije tukaharibu na kile tulicho nacho kwa sababu ya huruma ambazo hazia mashiko. Kwanza Role ya mpenzi wa mtu siyo kufanya hayo mambo unayomshauri mwenzio hata kama alimpenda kivipi kwani huyo jamaa ana ndugu zake na yawezekana alishawezeshwa akakataa. Kama alikuwa bright then akaiba ujue tayari alishaanza zamani na sasa amekomaa kwa hiyo anahitaji maombi ya watumishi wa Mungu zaidi huyo na siyo msaada wa ex-friend
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Hii hadithi umejaribu kuitunga vizuri sana, na wachangiaji wengi wameingia ndani ya kumi na nane zako............lakini wajanja kama mimi babu yenu ODM, hata kama ulikuwa unasoma NGONO ACADEMY..... hakuna kitu kama hicho kwenye red kinachoweza kutokea!!!

HAKUNA!......Tupa kule!
 
Jaribu kuongea nae na umuulize kuhusu ndugu zake ili uweze kushirikiana nao katika kumsaidia na kama wao walishajaribu wakashindwa basi watakupa hali halisi pengine ye mwenyewe hasaidiki na hivo ukajikuta unapoteza muda wako bure coz kumsaidia teja si kazi rahisi na inahitaji comittment ya ukweli. Pole sana dada.
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Hapo kwenye red, itaingia akilini kama mwalimu alilazimisha utangazie umma kuwa mmeachana, otherwise mngefukuzwa wote kwa utovu wa nidhani. Hadithi yako hata kama ni ya kweli umepamba mno.
Mfano 'aliniacha mbele ya rafiki zake kwa dharau' ingetosha.
 
Si bure Mungu anampango na wewe. Kitendo cha kukutana naye au kumuona tu kuna kitu waweza fanya juu ya ex wako. Kuna mambo mengi ukiachana na swala la kurudiana. Unaweza kumsaidia kwa kummunganisha na asasi zinazoshugulika na mateja walau kwa kuanzia. Si unafahamu kuwa mateja wanatibika. Walau unajua wapi anapatikana du something ukianza na kumuweka ktk maombi.
 
attention seeking disorder (ASD) there is no treatment for such diseases at the moment, researches suggest that frequent sex may be useful, alcohol exacerbate the problem especially when the subject is horny and didnt get boned!!
kaka nimekukubali....straight truth!
 
i dont know why, ila wewe huaminiki na mimi sikuamini..... utunzi mwema

Yaani JF mpaka raha, nilichotaka kucomment nakuta mkuu umeshamwaga ukweli wenyewe, teh teh teh! halafu kesho huyu huyu atakuja na thread kwamba yeye ni bikira, yaani hapa kuna vituko si kidogo.
 
na mimi nlikuwa kiranja mkuu kuanzia primary na sekondary school, mengi tumeyaona kulingana na shule tulizosoma. Nikiwa kiranja nimesha wahi kukabidhiwa cheo cha mwalimu msaidizi wa nidhamu.

Hapa mimi ndio nashindwaga kuwaelewa member wenzetu humu JF, hivi inaingia akilini mwanafunzi uitwe mwalimu na wanafunzi wenzako!
Jamani msilete mzaha wa kitoto namna hii.
 
Wakuu naona wengi mmebisha hii sentensi....
Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha.

Mnasema kuwa haiwezekani.. Mtoa Hoja amesema alipigwa kibuti Assemble Mtoa hoja hajasema kwamba walikuwepo wanafunzi wote Assemble labda ilikuwa assemble hall wakiwepo watu wachache bila waalimu na pia issue ya kwamba aliutangazia umma wa wanafunzi hajasema kwamba aliwakusanya wote alafu akawatangazia..., labda alianzisha romours za kwamba amemwacha na watu wote wakajua.... Therefore kwenye Paragraphs alizotoa its audible na inaweza kutokea.... "Swali la kama did it really Happen...., Siwezi Kujua..., Can it Happen.., Ofcourse Yes"
 
Back
Top Bottom