Namsikitikia, He was my boyfriend

I wonder now days students! you have gained even the confidence to write to the public all filth you were doing at school. It reflects all stupidiyt you have and how you have beeing bulding up on it. I wish now to advise at least to those who can listen and understand, that what brought them to school is studies and not sexual relationships. I beg all the young generation not to imitate from you sister because you are a bad example already. What can your youngs learn from you? Making love while in the school, creating destructive relationships like yours, I say with commemorating voice NO!!!!!!!!!!!!!!!!!
What shall you teach your family about schooling? Having boylovers at school? Do not even dare to post such stupid messages like this in this blog again. We need messages which are really and practically constructive, and not destructive like yours! STOP IT!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.Form six tulipo ingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao.Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
We ulipomuona umechukua hatua gani? Umefanya nini? Au umemcheka/umempuuza kwa hali uliyomkuta nayo? Ulipaswa umsaidie kwa hilo? Km binadamu 4get abt yaliyopita, mtafute, mpeleke kwa psychologist akapate tiba. Bangi si ugonjwa, huisa!
 
Mpe pole sana,ila itakuwa bomba sana kama utamsaidia kwa HALI na MALI!
 
hadithi nzuri inamsawiri mtangazaji mmoja alikuwa Tbc sijui yuko wapi sasa hivi
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.
Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.
Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.
Form six tulipo ingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao.
Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.
Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.
Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.
Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.
Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Hapa kuna Uwongo Div 1 ya point 4 asingeweza poteza uelekeo kiasi hicho....wewe ni mtunzi mzuri wa riwaya...Shingongo lazima atakupa kazi kwenye magazeti yake
 
Hehehehehe watunzi naona wanaongezeka Mkuu, siku za nyuma hatukuwa na matatizo kama haya.

BAK hivi kwanini mtu anakaa na kuanza kuandika uwongo halafu ategemee watu waamini? Nachukia watu wa namna hii ngoja nifanyie marekebisho ile Ignore list yangu. Huyu anaingia huko bila kuchelewa hahahahah
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK hivi kwanini mtu anakaa na kuanza kuandika uwongo halafu ategemee watu waamini? Nachukia watu wa namna hii ngoja nifanyie marekebisho ile Ignore list yangu. Huyu anaingia huko bila kuchelewa hahahahah

mchungaji punguza hasira, wengine in psychopath aisee... fuatilia threads za nazjaz zote utagundua anaumwa
 
msaidie kama unaweza na anasaidika,atakuwa amejifunza na makosa by now....kwa uwezo huo wa akili,anaweza kuwa mtumishi mzuri wa nchi ya Tanzania.Inasikitisha sana!
 
BAK hivi kwanini mtu anakaa na kuanza kuandika uwongo halafu ategemee watu waamini? Nachukia watu wa namna hii ngoja nifanyie marekebisho ile Ignore list yangu. Huyu anaingia huko bila kuchelewa hahahahah

Mhhh! Mkuu! hata mimi sielewi kwanini utunge hadithi ya uwongo na kuja nayo hapa jamvini, lakini tukumbuke Mkuu binadamu tunatofautina katika maamuzi yetu. Wengine wana uwezo wa kufanya mambo ya kustaajabisha ambayo wengine hawawezi hata kuyafikiria kichwani wachilia mbali kuyafanya.
 
kama umaweza ebu jaribu kumtafuta n ufanye maongezi nae ikiwezekaha hata kwny restrnt o any place were yu can get pictre y yupo dat stage n cheack were yu can help him msamehe kwa wte yaliyopita !!
 
As long as mnafahamiana b4 you can try to play your part,hujafa hujaumbika na sote tunamwomba Mungu mmoja,kama haujamdate mtu uko free sana kumsaidia na wewe kutokeza kwako unaweza ukawa ni mlango wa yeye kurudi duniani...kimsingi ukifanikiwa una hazina kubwa sana mbinguni maana hapa duniani tunapimwa kama tunaweza kiasi flani basi hata huko tuendako unakuwa umeshinda

Unaweza ukawaona washauri nasaha,ama ukampeleka kwenye huduma za kuzuia drugs ama ukampeleka kanisani walau kuliko kupiga debe....ila usiogope gharama make maisha ya mtu ni zaidi ya vyote

kuna watu walilelewa leo safi,kuna watu waliua leo wanahubiri,kuna watu walifungwa miaka nenda rudi leo wameretain utu wao kwenye jamii,kimsingi hapa duniani hamna kipya,sisi tu ndo tunahofu
 
attention seeking disorder (ASD) there is no treatment for such diseases at the moment, researches suggest that frequent sex may be useful, alcohol exacerbate the problem especially when the subject is horny and didnt get boned!!
Hahahaaa!Mkuu, hapa umesema vyema.
 
Back
Top Bottom