Namshukuru Mungu!

Pole sana mkuu, nilipita jana maeneo hayo mida ya saa 9 na niliona 'winchi' ikijaribu kuinua hilo gari kutoka pembeni ya barabara. Kweli inatisha. Sikudhani kama kuna aliyetolewa akiwa hai.

Wakati napita hapo na kuliona hilo gari wazo la kwanza lililoniijia kichwani ni kwamba 'dereva hilo gari' alikuwa anajaribu kukwepa wanyama maana kipande kile cha barabara kimenyooka, rami nzuri, hakuna bumps na ni eneo wanyama wanatangatanga sana hasa nyakati za asubuhi/usiku.

Nawatakieni kupona kwa haraka.
 
SMU aliyekuwa amevaa kaptura ya jani la mgomba na shati la mistari la mikono mirefuu ni mimi; Nilikuwa na ndugu zangu walionisaidia na kusimamia zoezi zima! kwa aliyeuliza kama hizi picha ni za kweli basi akatazame makaburi ili ajihakikishie kweli watu hufa!

Wadau nawashukuru sana, ni kweli Mungu kanipa upendeleo wa pekee!

Mubarikiwe
 
SMU aliyekuwa amevaa kaptura ya jani la mgomba na shati la mistari la mikono mirefuu ni mimi; Nilikuwa na ndugu zangu walionisaidia na kusimamia zoezi zima! kwa aliyeuliza kama hizi picha ni za kweli basi akatazame makaburi ili ajihakikishie kweli watu hufa!

Wadau nawashukuru sana, ni kweli Mungu kanipa upendeleo wa pekee!

Mubarikiwe

Pole sna kaka.. Mungu azidi kuwalinda na kuwabariki
 
Poleni wote mlikuwa humu ndani ya hili gari! again sheria ya barabarani iangaliwe tena na hasa ya hawa madereva wa magari makubwa! wapo rafu sana hao! poleni wakuu!
 
Pole sana mkuu, na aliye hospitali tunatanguliza dua zetu kwa mwenyezi.
Ajali inatisha, na kwahii inatisha zaidi maana imetokea pori la wanyama, dah nikifikiria, mhh poleni sana.
 
pole sana MJ, nawatakia afya njema na mpone haraka

kwa madereva wote: Tuwe waangalifu sana tukiwa barabarani hasa highways katika kipindi cha usiku, mvua na ukungu kwani uendashaji wake ni tofauti na mchana hali ya hewa ikiwa tulivu na pia tuwe makini pale unapoendesha gari muda mrefu unatakiwa kupumzika kidogo ili uchovu na usingizi uishe (Ni tahadhari tu sina nia ya kumnyooshea kidole mtu)
 
Man sikuona hii OMG pole sana MJ. Duuu mkubwa pole sana m speechless
 
Sina cha kusema zaidi ya Asante..................

Kweli Mungu amekuwa mwema sana kwa tulionusurika humo!

Love yall!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom