Nampenda tatizo ananibania penzi

hahaha...sumu yake sio kali bana hadi dada hajafa hajaoza bado anahema.,.

kwa karne hii yani na2ma txt chache tu mtoto anaingia kingi mwenyewe... kwa kweli saivi sipgi saund ni kutengeneza mazingira tu..
 
Yaan apo ,kweli ,Ww unamtani tu ,humpendi n ndio zenu hizo wanaume
 
kwa karne hii yani na2ma txt chache tu mtoto anaingia kingi mwenyewe... kwa kweli saivi sipgi saund ni kutengeneza mazingira tu..

hapo kidogo nitajalibu nifuate nyayo zako bro.
 
Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama siyaelewi kabisa hiv utamsubiria mwanamke miaka nane bila kuduu hapa si napigwa changa tu ndugu sana..

Ukitaka JF I-shine nyimamadogookumanga ehee Nyimamadogookumanga.
 
kwa karne hii yani na2ma txt chache tu mtoto anaingia kingi mwenyewe... kwa kweli saivi sipgi saund ni kutengeneza mazingira tu..
dah unacheza kama Pele mwenyewe..ngoja ukutane na kisiki cha mpingo kama hiki,kitu c*up* ya chuma amebana na haachii..
 
Mkuuu kama umemwelewa vumilia na kama umekabwa na hamu san nenda kwa wahaya ukamalize mambo then urudi kwa mtoto umsikilizie
 
Dah!Hata Mimi Nina Kes Kama Hyo Mwanangu Na Auheni Au 2dalili Twa Kumwaga Wino Hanionesh Mpaka Sasa
kwan Demu Wako Ni Bkra cz Wangu Anadai Yeye Ni Bikra
Wako Kama C Bikra Huenda Kuna Njema Inajilia Vyake
CHUNGUZA bab'

But Kabla Hujadai Penz,Tafakar Athar Zake

Hapa Namaanisha Baada Ya Kla Mmoja Wenu Kuujua Uchovu Wa Mwenzie...kuna Uwezekano Mkubwa Wa Kuchokana Na Kuachana
Kumbuka Mapenz Sio Ngono 2,
Kuna Mambo Meng Humu Namaansha Ubunfu Ktk Mapenzi!

TyM NYNGNE HUCLETE KES KAMA HII HAPA KWAN 2SHACHOKA NA AINA YA KES KAMA HZ HASA TOKA KWA WANAUME!!
 
Naona umendika kiFACEBOOK zaidi!!
 
Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama siyaelewi kabisa hiv utamsubiria mwanamke miaka nane bila kuduu hapa si napigwa changa tu ndugu sana..

Hiyo ni dalili nzuri bro, it's better 2have sm1 who respect u by not giving u so easily. Na hata kama mtaachana, hutokuwa ktk position mbaya coz hujawahi mgusa and now magonjwa mengi. Subiri na kuwa mwangalifu na wadada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom