Nampenda tatizo ananibania penzi

mkuu pole kwa kuingizwa mjini. qn1. je uyo gf wako ana age gani?,qn2. na wewe una age gani?.
mi siamini kama mpo above 18yrs aged, alafu mnazungiushana kiasi hicho. kuwa mjanja mkuu awapo unapigwa changa la macho that means mzigo unapigwa na jamaa mwingi we upo tu kwajili kuzugia. i-short unapoteza mda wako apo amna kitu no bikra wala kitanzi. chamuhimu fanya utafiti utagunduwa ukweli wake au alikuwa ana jamaa wameachana but still bado anampenda so anashindwa kugawa penzi kwa mtu mwingi. yangu+yako=concrete answer/solution


yeye anamiaka 18 alaf mi ninamiaka 22 mkuu...
 
Hana lolote huyu kamtamani tuu dada wa watu tena inaonekana kakaa kimagumashi thats why haaminiki hata kidogo
 
Kuna wanawake wengine vichwa ngumu, kwa hiyo haja zako unamalizia wapi
 
kwani is that all?? u'll do wen the ryt tym comes. it's possible mbona mm na my hubby tuliweza kukaa almost 3yrs without doing it?? usimlazimishe kama hataki atakuona mzushi hata kama haupo hivyo.....
 
Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama siyaelewi kabisa hiv utamsubiria mwanamke miaka nane bila kuduu hapa si napigwa changa tu ndugu sana..[/QUOTE


Mkuu kusubiri ni jambo la busara zaidi,utaepuka hatari nyingi kwa kusubiri. Na kama kweli unataka kumuoa kuduu wala siyo ishu kubwa sana kwani kuna mambo mengine mengi ya kuchunguza na kujua kuhusu yeye apart from ku-do. and kumbuka ku do kabla ya ndoa ni dhambi.
 
km anakufanya ww wa kuzugia na ww mfanye wa kuzugia..tafuta kazi ya nje,endelea na maisha
 
Hajajihakikishia bado, mhakikishie kwamba she is the one, hata kapete tuu ,utaona mwenyewe
 
Mengi yatazungumzwa lakini kwa nini mwanamke uwe nae kwenye urafiki kwa muda wote huo na msipeane tunda, kuna siri gani?
Mi nadhani wanawake wa namna hiyo wanakuwa hawajiamini na pengine ana tatizo, anasubiri ndoa ili iwe ngumu mwanaume kutoka kirahisi.
USHAURI: Jaribu kumwacha kimya kimya. Kama nae anakupenda ataachia upige, kama mbovu atabana tu anajua akikupa utasepa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom