Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Huyu klorokwin unajua brazameni sana atakusumbua
brazameni kweli. Namuona hapo na mibuti yake.
Tumuache asije akatumwagia mbu humu bure.
Huyu klorokwin unajua brazameni sana atakusumbua
Amepita mtaani hapa sasa hivi sijui anaenda kuuza sura wapibrazameni kweli. Namuona hapo na mibuti yake.
Tumuache asije akatumwagia mbu humu bure.
Nimeona yani cjui niseme too low au too high!!!wacha tuvumilie tutaona mengi aisee
Pumba zingine zinaudhi sana