Nampenda sana miss judith sijui nimwambieje!

Garmii

Senior Member
Feb 26, 2011
164
19
Jaman huyu dada anayeitwa miss judith huwa namzimia sn hasa anapochangia mada humu jf,huwa c mtu wa kukurupuka na anawasilisha vilivyo binafs huwa anaukonga moyo wangu!miss judith upooo...?
 
Thread za aina hii zinahamishiwa chiti chati!Ingekua uungwana zaidi kama mngeanzisha kule kuwapunguzia mods kazi!
 
True Lizzy, mbona mimi nakuzimia sijasema, naona sasa imekuwa ndio fashion, pia kuna ile huduma ya pm kwa nini wasitumie hiyo, maana anayependwa mwingine wanaombiwa wengine.
 
Imekuwa kero na mimi kesho nitaamka nakuanzishia thread Lizzy l.o.l ila seriously this habit its starting to annoy me.
 
We pia ni waziri?
Jaman huyu dada anayeitwa miss judith huwa namzimia sn hasa anapochangia mada humu jf,huwa c mtu wa kukurupuka na anawasilisha vilivyo binafs huwa anaukonga moyo wangu!miss judith upooo...?
 
True Lizzy, mbona mimi nakuzimia sijasema, naona sasa imekuwa ndio fashion, pia kuna ile huduma ya pm kwa nini wasitumie hiyo, maana anayependwa mwingine wanaombiwa wengine.
Kama unamzimia mtu si umtumie tu PM umwambie
 
True Lizzy, mbona mimi nakuzimia sijasema, naona sasa imekuwa ndio fashion, pia kuna ile huduma ya pm kwa nini wasitumie hiyo, maana anayependwa mwingine wanaombiwa wengine.
Embu niPieM nikwambie tukutane wapi!
 
Imekuwa kero na mimi kesho nitaamka nakuanzishia thread Lizzy l.o.l ila seriously this habit its starting to annoy me.

Kama kuanzisha waanzishe tu ila wangepeleka mahali husika!Mmmh mimi sitaki kuanzishiwa nataka kufungiwa!
 
mnh mtoa mada si juzi juzi hapa tulikuwa tunakushauri kuiokoa ndoa yako isiyo na mtoto leo unampenda dada judith??? shetani anainyemelea ndoa yako!:tape::tape:
 
True Lizzy, mbona mimi nakuzimia sijasema, naona sasa imekuwa ndio fashion, pia kuna ile huduma ya pm kwa nini wasitumie hiyo, maana anayependwa mwingine wanaombiwa wengine.

kusifiwa rahaaa,unataman ungekuwa ww eti?
 
Back
Top Bottom