Nampenda sana miss judith sijui nimwambieje!

Akili kwa kichwa kweli zinahitajika!Nikitaka unionyeshe nilipomsema utanionyesha?
 
kiukweli mmetuchoka,ss ndio nn mnachokionyesha ktk jamii?mtu km huna point si bora unyamaze kimya?
 
Huh??We ndo Akili Kichwani?Maana ndo nliyekua namjibu!

sister lizzy, kwa kweli mnabore sana saa nyingine na hizo chit-chat zenu........... wengine mnawaambia watumie PM na nyie mnachat hapohapo, kwani nyie hamjui matumizi ya PM?............ acheni kujiona kama mna hatimiliki ya majukwaa ya JF jamani,......... tuweni wastaarabu na tuheshimiu maoni na hisia za wengine................. samahani kama nimewakwwaza..................
 
sasa wakuu lizzy, wiselady, kloroquine, the finest &co. mnamkandia muanzisha thread kuwa kaleta uzi mbovu halafu na nyie mnaanza kushindana kupost thread za upupu kwenye thread hiyo hiyo?.................. ama kweli huyu binti MJ mumemchukia sana.............. lakii sio vizuri, hata kama mwamuonea wivu, taratibu jamani..................... kha, yaani hadi mnaboa!!................, by the way, nani kawaambia mkiongeza posts mtapewa zawadi?..........................
Hao uliowataja majina ni MODS ukila BAN usianze kulalamika.
 
sister lizzy, kwa kweli mnabore sana saa nyingine na hizo chit-chat zenu........... wengine mnawaambia watumie PM na nyie mnachat hapohapo, kwani nyie hamjui matumizi ya PM?............ acheni kujiona kama mna hatimiliki ya majukwaa ya JF jamani,......... tuweni wastaarabu na tuheshimiu maoni na hisia za wengine................. samahani kama nimewakwwaza..................
Nilitaka unionyeshe nilipomsema!
 
sasa wakuu lizzy, wiselady, kloroquine, the finest &co. mnamkandia muanzisha thread kuwa kaleta uzi mbovu halafu na nyie mnaanza kushindana kupost thread za upupu kwenye thread hiyo hiyo?.................. ama kweli huyu binti MJ mumemchukia sana.............. lakii sio vizuri, hata kama mwamuonea wivu, taratibu jamani..................... kha, yaani hadi mnaboa!!................, by the way, nani kawaambia mkiongeza posts mtapewa zawadi?..........................
tusamehe! ni utoto tu, tukikuwa tutaacha!
 
njoo huku PM bana! hapa mheshimiwa waziri akili kichwani amekasirika kweli! anaweza akatupoteza kwenye ramani ya JF anytime.
Yaani hii wiki atakaenipm tu naremba sredi hewani. Nipo kwenye maombolezo ya mtongozo wa nazjaz.
 
Back
Top Bottom